Kitendo cha wachezaji wa yanga kumpiga refa hakikubaliki

Kitendo cha wachezaji wa yanga kumpiga refa hakikubaliki

Kama wachezaji hawa kosa lao ni kumpiga (assault) refa basi walipaswa kupewa adhabu moja -- nayo ni kufungiwa mwaka mmoja. TFF inapaswa ku-review hii adhabu ili haki itendeke.
 
Adhabu hyo haiwatoshi. Naskia pia hao wachezaji walimpga mtoto hadi akafariki et kisa alwazomea kwa kuwaita yeboyebo.
Siipendi Yanga tena. Washamba wa soka.
 
Kwa nini Mwasika wamemfungia mwaka 1 af Cannavaro mechi 6?! Kwani aliyempiga refa alikuwa nani?

aliyempiga mwamuzi ni mwasika,kanavaro amefungiwa mech 6,coz alianzisha vurugu baada ya kutoka mbali nakuanza kumkimbiza refa ingawa hakumpiga
 
wakate rufaa kwani chanzo cha yote ni refa kuhongwa na azam & simba, kwanza alitakiwa apewe ahabu refa ndipo hao wengine wafuatwe
 
Wangefungiwa maisha, iwe fundisho kwa wengine, hii adhabu ni ndogo sana, ndio maana hatuendelei kimichezo kwa sababu nidhamu hatuna.
 
View attachment 49231
Refa analishwa Ngumi na baadhi ya Wachezaji wa Yanga...
yanga vurugu 2.jpg
Mshika Kibendera anaingilia kati kuwatuliza Yanga...
Yanga vurugu 3.JPG
Refa anatoka Mbio kutafuta usalama wake...
Yanga vurugu 4.JPG
Chini ya ulinzi mkali Refa anatoka uwanjani...
 
Mchezaji wa yanga jerson Tegete ameongezewa adhabu kutoka mechi 6,mpaka miezi 6,kutokana na kitendo chake cha kuingia uwanjani kwenye vurugu wakati alikua benchi
 
Kwa nini Mwasika wamemfungia mwaka 1 af Cannavaro mechi 6?! Kwani aliyempiga refa alikuwa nani?
******* maji hawa wamekurupuka kutoa adhabu bila kujua wahusika kamiilifu ninapicha ya canavaro kupiga konde la nguvu kwa refa nashangaa wamemwacha wanakimbilia mwasika very shame anyway
baggage in baggage out
 
Tenga na wenzake ni washenzi na wpaumbavu ndio wanaoaribu soka la tanzania kwa k uendekeza uhanithi wa fedha za wafadhili wa timu..yule refaaa jamani tangu asbh redio zinamtangza amehiongwa nilitaraji tff watafanya mikakati ya kulirekebisha lakini upuuzi mtupu kweli dk za mwanzo kaambiwa toa huyu toa yule wachezaji wa yanga nao wakaanza shika hapa shika kule alafu linakimbia kama bwabwaaaaaaa
 
Back
Top Bottom