Kitendo cha wachezaji wa yanga kumpiga refa hakikubaliki

Kitendo cha wachezaji wa yanga kumpiga refa hakikubaliki

Tenga na wenzake ni washenzi na wpaumbavu ndio wanaoaribu soka la tanzania kwa k uendekeza uhanithi wa fedha za wafadhili wa timu..yule refaaa jamani tangu asbh redio zinamtangza amehiongwa nilitaraji tff watafanya mikakati ya kulirekebisha lakini upuuzi mtupu kweli dk za mwanzo kaambiwa toa huyu toa yule wachezaji wa yanga nao wakaanza shika hapa shika kule alafu linakimbia kama bwabwaaaaaaa

kweli hz habari za refa kupewa pesa lilikuwa limetapakaa kabla ya mechi lkn tenga na viongozi wenzie wakapuuza,saw wametoa tamko pia wajaribu kumchunguza na refa
 
my friend, which country are you in?

we are talking of yanga here...... the reigning double champions (country and cecafa) and a team with the highest trophies in this country!

come on, sulker!

that true!
 
Ni wendawazimu tff nzima na familia zao uwezi ongozwa na wajinga wakiongozwa na tenga na ndio maana rage amesema tusiende mashabiki taifa .....tuachanene na wendawazimu hawa......ndio maana nilifurahi jamaa alimpiga misumari pumbavu mwingine yule alieenda appolo ..na dawa ni hiyo mwenye uwezo wa kumpiga misumari tenga na wambura ani pm tadhali any ammount
 
TFF imemfungia mwaka 1 mchezaji wa yanga stephano mwasika,pia mechi sita kwa canavaro,na Tegete,pia mechi 3 kwa nurdin bakari,na omega seme na YANGA kupigwa faini ya milioni 4.5 kutokana na vurugu kati ya mechi ya yanga na Azam

Hawa TFF wazushi sasa kifungo cha mwaka mmoja maana yake nini? mie nadhani angefungiwa mechi kadhaa hata zikiwa 20 au 10 na sio mwaka mmoja, hizo ni adhabu za kizamani sana, Anyway vipi na mwamuzi nae kaangaliwa vipi kwa maamuzi yake ya ajabu ajabu?
 
hawa tff wazushi sasa kifungo cha mwaka mmoja maana yake nini? Mie nadhani angefungiwa mechi kadhaa hata zikiwa 20 au 10 na sio mwaka mmoja, hizo ni adhabu za kizamani sana, anyway vipi na mwamuzi nae kaangaliwa vipi kwa maamuzi yake ya ajabu ajabu?

nae si pumbavu kama tff unahisi kuna tofauti yoyote shame on them
 
Ni wendawazimu tff nzima na familia zao uwezi ongozwa na wajinga wakiongozwa na tenga na ndio maana rage amesema tusiende mashabiki taifa .....tuachanene na wendawazimu hawa......ndio maana nilifurahi jamaa alimpiga misumari pumbavu mwingine yule alieenda appolo ..na dawa ni hiyo mwenye uwezo wa kumpiga misumari tenga na wambura ani pm tadhali any ammount

Rage anajua ubabaishaji wa FAT mpaka TFF ndo maana akasema kama vp mashabiki wasije uwanjan,ubabaishaji mwingi,wambura,tenga vp?
 
Hawa TFF wazushi sasa kifungo cha mwaka mmoja maana yake nini? mie nadhani angefungiwa mechi kadhaa hata zikiwa 20 au 10 na sio mwaka mmoja, hizo ni adhabu za kizamani sana, Anyway vipi na mwamuzi nae kaangaliwa vipi kwa maamuzi yake ya ajabu ajabu?

hawana jipya,refa cku 1 kabla ya mechi alishajulikana amepewa pesa mbona hawakufatilia hao tff?
 
ni kweli sometimes marefa wanachangia kwa kiasi kikubwa iwe makusudi/kupanga au kutokusudia kuamsha hasira za wachezaji kutokana na maamuzi mabovu au yenye utata ila kwa wachezaji wa ligi kuu kwa hapa bongo kwa level yao hawakustahili kufanya walichokifanya ni aibu kwao,klabu na taifa kwa ujumla baadhi yao ndo tunategeme wajekua profesional kweli,haya sasa wameshaicost team inayowalipa mishahara and benefits

a professional never reacts even if provoked!!!!
 
alipendelea azam,na alipewa hela na azam fc
Alipewa hela baada ya mchezo (baada ya 'kupendelea') au kabla ya mchezo (ili apendelee)? Anyway, hilo la kupewa pesa tuliweke kando (nikiamini huna ushahidi wowote).

Labda katika hili la kupendelea Azam (ambalo kwa hoja yako pengine linatokaba na kupewa hela), ni maamuzi gani aliyafanya ambayo unadhani aliwapendelea Azam to the detriment of Yanga? Bila kuwa specific inakuwa ngumu sana kwa 'sweeping allegations' kama hizi kukubaliwa na watu wasioegamia upande wowote. Nilimsikia jana kiongozi wa yanga akisema wamekata rufaa kuhusu mchezo wao na Azam lakini alipoulizwa basis ya rufaa yao akakataa kusema! Sasa kuwa na viongozi kama hawa katika vilabu vya soka ni tatizo!
 
Kwa nini Mwasika wamemfungia mwaka 1 af Cannavaro mechi 6?! Kwani aliyempiga refa alikuwa nani?
Mwasika ndiye alimpiga ngumi refarii; so adhabu aliyopewa anastahili.
 
******* maji hawa wamekurupuka kutoa adhabu bila kujua wahusika kamiilifu ninapicha ya canavaro kupiga konde la nguvu kwa refa nashangaa wamemwacha wanakimbilia mwasika very shame anyway
baggage in baggage out
Mkuu tuwekee hapa....
 
alipendelea azam,na alipewa hela na azam fc
Kama alipewa hela na azam fc hii ni rushwa na ni swala la kupelaka ushadi takukuru na TFF na TFF wangelifanyia kazi na siyo kuwambia wachezaji wampige refa huu ni uhuni na hatuwezi kuuvumilia kwenye soka letu wengine soka la bongo ndiyo tulolipenda kuliko hata la nje hivyo yanga wapeleke uhuni wao jangwani.....
 
Alipewa hela baada ya mchezo (baada ya 'kupendelea') au kabla ya mchezo (ili apendelee)? Anyway, hilo la kupewa pesa tuliweke kando (nikiamini huna ushahidi wowote).

Labda katika hili la kupendelea Azam (ambalo kwa hoja yako pengine linatokaba na kupewa hela), ni maamuzi gani aliyafanya ambayo unadhani aliwapendelea Azam to the detriment of Yanga? Bila kuwa specific inakuwa ngumu sana kwa 'sweeping allegations' kama hizi kukubaliwa na watu wasioegamia upande wowote. Nilimsikia jana kiongozi wa yanga akisema wamekata rufaa kuhusu mchezo wao na Azam lakini alipoulizwa basis ya rufaa yao akakataa kusema! Sasa kuwa na viongozi kama hawa katika vilabu vya soka ni tatizo!

kabla ya mech habari zilitoka kwamba ISRAEL MKOMO amepewa pesa na Azam fc ili awe upande wao hata redcard aliyopewa haruna naamini ni nyepesi kuliko zote duniani,so alichokua anafanya ISRAEL ni kuwatoa wachezaj wa yanga mchezon. Thats all
 
  • Thanks
Reactions: SMU
******* maji hawa wamekurupuka kutoa adhabu bila kujua wahusika kamiilifu ninapicha ya canavaro kupiga konde la nguvu kwa refa nashangaa wamemwacha wanakimbilia mwasika very shame anyway baggage in baggage out
Yaani bado hujaamini kuwa Mwasika alimpiga ngumi Refarii: CD zipo zinazo onyesha tukio zima.
 
Kama alipewa hela na azam fc hii ni rushwa na ni swala la kupelaka ushadi takukuru na TFF na TFF wangelifanyia kazi na siyo kuwambia wachezaji wampige refa huu ni uhuni na hatuwezi kuuvumilia kwenye soka letu wengine soka la bongo ndiyo tulolipenda kuliko hata la nje hivyo yanga wapeleke uhuni wao jangwani.....

unajua baada ya taarifa kuzagaa azam wametoa pesa,yanga walilalamika kwa tff but hawakupata feedbak yoyote,so waliingia kwenye game wakiwa na vision tofaut upande wa refa,
 
Mwasika ndiye alimpiga ngumi refarii; so adhabu aliyopewa anastahili.
Mkuu siyo mwasikatu kuna wachezaji 3 walio mtwa refa lakini nashangaa kafungiwa moja angalia picha zilizoko kwenye page ya pili...
 
unajua baada ya taarifa kuzagaa azam wametoa pesa,yanga walilalamika kwa tff but hawakupata feedbak yoyote,so waliingia kwenye game wakiwa na vision tofaut upande wa refa,
Huo ni ujinga, mpira hauchezwi kwa hisia kutoka nje ya uwanja, au ugonvi ndo waliojifunza kutoka Misri???? kwa kifupi wachezaji wa Yanga waliwaaibisha wanachama na wapenzi wa club, ilitakiwa wote wafukuzwe .
 
refa naye afukuzwe coz amekula hela ili kuwanyong'onye YOUNG SPORT CLUB
 
kabla ya mech habari zilitoka kwamba ISRAEL MKOMO amepewa pesa na Azam fc ili awe upande wao hata redcard aliyopewa haruna naamini ni nyepesi kuliko zote duniani,so alichokua anafanya ISRAEL ni kuwatoa wachezaj wa yanga mchezon. Thats all
Okay, kwa hiyo Yanga wanakata rufaa kwa sababu tu kulikuwa na 'habari ilitoka' (bila kujali kutokea kwa nani?) kuwa refa alipewa pesa? Redcard, aliyopewa Haruna ni nyepesi kivipi? Wewe unadhani alipewa kuhusiana na kosa gani au kuvunja kanuni/sheria gani ya soka (hata katika huo wepesi wake)? Mambo haya yanaonaongozwa na sheria/kanuni, so unaposema nyepesi au nzito/inastahili redcard ama la ni lazima uongozwe na sheria/kanuni husika.
 
Back
Top Bottom