Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Sawa bossKwann niombe hzo n nafas za kuwaachia jobless nao wapate ya kufutia machozi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa bossKwann niombe hzo n nafas za kuwaachia jobless nao wapate ya kufutia machozi,
Hizi ni akili za kijinga za maccm, na vijana waliomaliza vyuo na high school wapo mtaani wapewe kazi zipi?Andiko liko vizuri ila MTIZAMO WANGU, panapotokea shughuli zozote za UMMA zenye malipo ya muda mfupi basi hizi ZITENGWE kwa ajili ya WAALIMU WETU.
Uboreshaji wa daftari la wapiga kura, kusimamia upigaji kura, mambo ya SENSA na uelimishaji kwa jamii wowote WAALIMU watazamwe kwanza maana kazi yao haina SURUFU lolote nje ya mshahara wake.
Unatoa maagizo kama nani?? 😆HILI NALO kaliangalieni
Jf ina maajabu sana unaweza kukuta uyu anaelalamika kusikia sauti za komba na vicheche yupo pale kibasila pale pua na mdomo na ofisi ya halmashauri karibu kabisa na lupaso hlf uo si utalii mnaufanya wa bure ilitakiwa muulipie au?Wasalam mabibi na mababu...
Toka tarehe 14/4/2024 Tume huru ya uchaguzi imetoa tangazo la nafasi za kazi za muda katika kuboresha Daftari la kudumu la mpiga Kura.
Katika Jambo lililonishangaza ni kuona wimbi la walimu kuomba hizi nafasi, imani yangu inaniambia hizi ilikuwa n nafasi za kuomba graduates na jobless wapate chochote kitu lakini leo watumishi wa umma ndo wamejazana mno hususani walimu.
Katika utafiti mdogo katika shule zote nchini Tanzania walimu wameomba hizi nafasi za muda tena wengine ni mpaka walimu wakuu...
Hili la walimu hadi kunyang'anyiana hizi nafasi na graduates mtaani ni ishara tosha kuwa maslahi ya walimu ni Duni na mshahara hauwatoshei kabisa... Walimu wana njaa mpka wameamua kuvamia hivi vinafasi, yan Mwalimu hana ata kaposho anachopata katika mwezi hii ni hali mbaya saana.
Mheshimiwa Rais Mama Samia tunajua Zimebaki Siku chache watu waadhimishe siku ya Wafanya kazi Duniani ikikupendeza Mama wawekee walimu ata teaching Allowance kwa mwezi ata kama ikiwa ni laki tu kwa mwezi Hakika inaweza ikarahisisha maisha yao. Kuna walim wanaishi katika mazingira magumu hakuna nyumba, hakuna umeme, wako maporini tu ya I mtu muda wote anasikia sauti za Komba na Tetere.
Mama samia najua hili unaweza kabisa embu wawekee walimu posho uache Alama ya kweli ya Uongozi Wako, Hakika utakumbukwa Kizazi na Kizazi, kazi ya Ualimu sio kazi ya laana ni kazi ya kimitume, embu watunze upate thawabu hadi Akhera.
Aione Mama Samia Kwenye Faili....
Kwahiyo Akili bora za vyama vya upinzani ndo zinashauri vijana waliomaliza VYUO na High school walioko mtaani HAWANA SHUGHULI ndo serikali Iwade hizo kazi?Hizi ni akili za kijinga za maccm, na vijana waliomaliza vyuo na high school wapo mtaani wapewe kazi zipi?
CWT ni tawi la sisiemCWT ilitakiwa iwatetee lkn n chama butu, chama cha Walimu kiki endesha maandamano nchi nzima lazma serikal itaaamka tu
Sio wote mkuu wengine wapo vizur tu wana miradi yao wanaendesha safi na izo nafasi wanagombania haswa walim wa mjini ndo wana hali mbaya mno ila vijijin wapo zao na kilimoHao watu wana njaa haina mfano
Kwan walimu wana mishahara midogo kuliko wengine? Mfano Degree mwalim na mhasibu nani mwenye mshahara mkubwa?Am surprised kwa nini serikali wana kua wagumu sana kuongeza mishahara ya waalimu tofauti na taasisi zingine
Kwan walimu wana mishahara midogo kuliko wengine? Mfano Degree mwalim na mhasibu nani mwenye mshahara mkubwa?
MjmiMimi mbona sijaomba na mimi ni mwalimu
Kuishi maisha magumu kwa MTU mwenye Ajira ambayo ni ya serikali nikujitakia na kushindwa kuwa na elimu ya fedha.
Ikiwa MTU umeshindwa kushibia katika sahani je utaweza kushibia katika mwiko?
Mimi pia kama wewe tu mkuu, ni mwalimu lakin sijaomba. Tatizo kubwa ni kama ulivyosema kukosa elimu ya fedha, ingekua wana elimu ya fedha wenzetu plus na muda tulionao kwa nature ya kazi yetu tunaweza kabisa kutengeneza fedha wenyewe kuliko hata hizo za masimango wanazokimbilia wenzetuMimi mbona sijaomba na mimi ni mwalimu
Kuishi maisha magumu kwa MTU mwenye Ajira ambayo ni ya serikali nikujitakia na kushindwa kuwa na elimu ya fedha.
Ikiwa MTU umeshindwa kushibia katika sahani je utaweza kushibia katika mwiko?