DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
FactMjmi
Mimi pia kama wewe tu mkuu, ni mwalimu lakin sijaomba. Tatizo kubwa ni kama ulivyosema kukosa elimu ya fedha, ingekua wana elimu ya fedha wenzetu plus na muda tulionao kwa nature ya kazi yetu tunaweza kabisa kutengeneza fedha wenyewe kuliko hata hizo za masimango wanazokimbilia wenzetu