Kitendo cha Walimu wengi Kuomba Kazi kuboresha Daftari la mpiga kura Basi ni kielelezo tosha Maslahi ya Walimu ni Duni...

Mimi mbona sijaomba na mimi ni mwalimu

Kuishi maisha magumu kwa MTU mwenye Ajira ambayo ni ya serikali nikujitakia na kushindwa kuwa na elimu ya fedha.

Ikiwa MTU umeshindwa kushibia katika sahani je utaweza kushibia katika mwiko?
 
Andiko liko vizuri ila MTIZAMO WANGU, panapotokea shughuli zozote za UMMA zenye malipo ya muda mfupi basi hizi ZITENGWE kwa ajili ya WAALIMU WETU.

Uboreshaji wa daftari la wapiga kura, kusimamia upigaji kura, mambo ya SENSA na uelimishaji kwa jamii wowote WAALIMU watazamwe kwanza maana kazi yao haina SURUFU lolote nje ya mshahara wake.
 
Hizi ni akili za kijinga za maccm, na vijana waliomaliza vyuo na high school wapo mtaani wapewe kazi zipi?
 
Jf ina maajabu sana unaweza kukuta uyu anaelalamika kusikia sauti za komba na vicheche yupo pale kibasila pale pua na mdomo na ofisi ya halmashauri karibu kabisa na lupaso hlf uo si utalii mnaufanya wa bure ilitakiwa muulipie au?
 
Hizi ni akili za kijinga za maccm, na vijana waliomaliza vyuo na high school wapo mtaani wapewe kazi zipi?
Kwahiyo Akili bora za vyama vya upinzani ndo zinashauri vijana waliomaliza VYUO na High school walioko mtaani HAWANA SHUGHULI ndo serikali Iwade hizo kazi?

Kidumu chama cha mapinduzi kama hizo ndo AKILI mbadala.

Naheshimu mawazo yako, lkn mm nawaomba CCM wafikiri zaidi juu ya hao vijana na hizi kazi za muda wafikiriwe WAALIMU.
 
Walimu wafanye ibada kila mtu kwa dini yake,wakikopa wawe makini na kufanya maendeleo ya kudumu kwa pesa za mkopo kinyume na hapo watapata tabu Sana.
 
Am surprised kwa nini serikali wana kua wagumu sana kuongeza mishahara ya waalimu tofauti na taasisi zingine
Kwan walimu wana mishahara midogo kuliko wengine? Mfano Degree mwalim na mhasibu nani mwenye mshahara mkubwa?
 
Bora walimu mara ya mwisho aliyebiresha daftari mtaani kwetu alifanya makosa mengi sana ... Baadhi ya wanaume waliandikiwa jinsi ya Ke
 
Waalim wana mishahara mikubwa kuliko hata maafsa mifugo au uvuvi ila ss ukiwaona hao maafsa mifugo na uvuvi mtaani wanavovimba na magari juu yaan ss me sielew walim wanakwama wapi mbona ka mshahara n mkubwa tu kuliko wenzao ila wenzao huku mtaani acha tu wanamiliki nyumba kali na magari ya maana tu
 
Mimi mbona sijaomba na mimi ni mwalimu

Kuishi maisha magumu kwa MTU mwenye Ajira ambayo ni ya serikali nikujitakia na kushindwa kuwa na elimu ya fedha.

Ikiwa MTU umeshindwa kushibia katika sahani je utaweza kushibia katika mwiko?
Mjmi
Mimi mbona sijaomba na mimi ni mwalimu

Kuishi maisha magumu kwa MTU mwenye Ajira ambayo ni ya serikali nikujitakia na kushindwa kuwa na elimu ya fedha.

Ikiwa MTU umeshindwa kushibia katika sahani je utaweza kushibia katika mwiko?
Mimi pia kama wewe tu mkuu, ni mwalimu lakin sijaomba. Tatizo kubwa ni kama ulivyosema kukosa elimu ya fedha, ingekua wana elimu ya fedha wenzetu plus na muda tulionao kwa nature ya kazi yetu tunaweza kabisa kutengeneza fedha wenyewe kuliko hata hizo za masimango wanazokimbilia wenzetu
 
Wewe unagundua hilo leo? Ebu kuwa serious basi!
 
Mama SAMIA APITE HUKU AONE WALIMU WANAVYODHALILISHWA AWAFANYIE WEPESI
 
Nimelisoma hilo tangazo. Sioni kama kuna kosa watumishi wa umma wakiwemo hao walimu kuomba. Muhimu tu vigezo na masharti vizingatiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…