Kitendo cha Walimu wengi Kuomba Kazi kuboresha Daftari la mpiga kura Basi ni kielelezo tosha Maslahi ya Walimu ni Duni...

Fact
 
Kwa Kweli hata Mimi nashangaa. Kwa jamii iliyostaarabika hizi zilitakiwa zifanywe na majobless wa mtaani waliograduate. Hi kasi kubwa ya walimu kujazana na hii kazi ya 600k Ni ishara ya watu hawa kutotoka kuridhika.

Ninachoona walimu wamejijengea mtazamo wa kazi zote za muda za serikali sensa, kura, wamejimegea authority na mamlaka imekuwa na huruma sana kwao.

Kingine nimengundua kwenye utumishi wa walimu Kuna tabia ya SHEEP FACTOR. Hi ni tabia ya kikondoo yaani kufuata mmoja anakoelekea. Nimekutana na wamama walimu ambao familia zao ziko njema kwa ukwasi wa waume zao lakini na wao hawajaacha fursa hii mpaka unajiuliza kulkoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…