Pre GE2025 Kitendo cha Wasanii kuvaa nguo zenye Picha ya Rais Samia Ugenini ni cha Aibu na kinadhalilisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hakukuwa na sababu yoyote ile ya Maana au ya Kijinga ya kufanya hivyo .

Hii ni kwa vile huko Korea hakuna anayemjua Samia, Wala hakuna Jimbo lolote la Uchaguzi wa Tanzania huko, kiasi cha hao wanaoitwa Wasanii ambao pia ni Chawa kulazimika kufanya Kampeni na kuvaa mafulana ya kiwango cha chini yenye picha ya Mtanzania mwenzao.

Ni kweli kwamba Tajiri hanuniwi, maana ndio kawapa hiyo Koneksheni, lakini tulidhani badala ya kuweka mapicha ya watu wangeweza kuweka picha za Vivutio vya Nchi yao ambavyo ni vingi mno, ambapo tunaamini utalii ungeongezeka Nchini, Ni laana kwa nchi kutukuza watu binafsi kwa kiwango hicho hata kama watu hao wanatupa hela, Watu huisha na Nchi hubaki, ndio maana Nyerere alikwenda lakini Tanzania ikabaki, Maandiko matakatifu yameandika hivi, nanukuu, "AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU" mwisho wa kunukuu

Kuna haja sasa ya Nchi hii kuruhusu Uraia pacha ili sisi wengine tujivunie nchi nyingine badala ya kuwa Watanzania tu huku tukidhalilishwa mara kwa mara

Screenshot_2024-07-05-22-41-54-1.png
Screenshot_2024-07-05-22-42-40-1.png
Screenshot_2024-07-06-01-02-30-1.png
 
Hakukuwa sababu yoyote ile ya Maana au ya Kijinga ya kufanya hivyo .

Hii ni kwa vile huko Korea hakuna anayemjua Samia, Wala hakuna Jimbo lolote la Uchaguzi wa Tanzania huko, kiasi cha hao wanaoitwa Wasanii ambao pia ni Chawa kulazimika kufanya Kampeni na kuvaa mafulana ya kiwango cha chini yenye picha ya Mtanzania mwenzao.

Ni kweli kwamba Tajiri hanuniwi, maana ndio kawapa hiyo Koneksheni, lakini tulidhani badala ya kuweka mapicha ya watu wangeweza kuweka picha za Vivutio vya Nchi yao ambavyo ni vingi mno, ambapo tunaamini utalii ungeongezeka Nchini, Ni laana kwa nchi kutukuza watu binafsi kwa kiwango hicho hata kaka watu hao wanatupa hela, Maandiko matakatifu yameandika hivi, nanukuu, "AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU" mwisho wa kunukuu

Kuna haja sasa ya Nchi hii kuruhusu Uraia pacha ili sisi wengine tujivunie nchi nyingine badala ya kuwa Watanzania tu huku tukidhalilishwa mara kwa mara

View attachment 3034819View attachment 3034820View attachment 3034821
Jaman mi ni mhenga, huyu ni joming wa kitumbili enzi zetu? Halafu huyu Steve hua ni msaniii wa filamu?? Anyways nimefurahi kuona wasanii serious wameenda huko wataleta impact kwenye tasnia
 
Mie nadhani wangeenda wapiga picha,watu wa sauti, taa na make up ..ili wajifunze walau tufikie nusu au robo ya utayarishaji wao
 
Hakukuwa sababu yoyote ile ya Maana au ya Kijinga ya kufanya hivyo .

Hii ni kwa vile huko Korea hakuna anayemjua Samia, Wala hakuna Jimbo lolote la Uchaguzi wa Tanzania huko, kiasi cha hao wanaoitwa Wasanii ambao pia ni Chawa kulazimika kufanya Kampeni na kuvaa mafulana ya kiwango cha chini yenye picha ya Mtanzania mwenzao.

Ni kweli kwamba Tajiri hanuniwi, maana ndio kawapa hiyo Koneksheni, lakini tulidhani badala ya kuweka mapicha ya watu wangeweza kuweka picha za Vivutio vya Nchi yao ambavyo ni vingi mno, ambapo tunaamini utalii ungeongezeka Nchini, Ni laana kwa nchi kutukuza watu binafsi kwa kiwango hicho hata kama watu hao wanatupa hela, Watu huisha na Nchi hubaki, ndio maana Nyerere alikwenda lakini Tanzania ikabaki, Maandiko matakatifu yameandika hivi, nanukuu, "AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU" mwisho wa kunukuu

Kuna haja sasa ya Nchi hii kuruhusu Uraia pacha ili sisi wengine tujivunie nchi nyingine badala ya kuwa Watanzania tu huku tukidhalilishwa mara kwa mara

View attachment 3034819View attachment 3034820View attachment 3034821
Una usongo na mama Samia?

Wewe kimekuuma nini? Si ukisafiri wewe vaa fulana ya Ngorongoro crater na mlima Kilimanjaro, au beach ya Zanzibar.

Unajuwa kuwa ukijawa na chuki humuumizi unayemchukia unajiumiza nafsi yako?
 
Hakukuwa sababu yoyote ile ya Maana au ya Kijinga ya kufanya hivyo .

Hii ni kwa vile huko Korea hakuna anayemjua Samia, Wala hakuna Jimbo lolote la Uchaguzi wa Tanzania huko, kiasi cha hao wanaoitwa Wasanii ambao pia ni Chawa kulazimika kufanya Kampeni na kuvaa mafulana ya kiwango cha chini yenye picha ya Mtanzania mwenzao.

Ni kweli kwamba Tajiri hanuniwi, maana ndio kawapa hiyo Koneksheni, lakini tulidhani badala ya kuweka mapicha ya watu wangeweza kuweka picha za Vivutio vya Nchi yao ambavyo ni vingi mno, ambapo tunaamini utalii ungeongezeka Nchini, Ni laana kwa nchi kutukuza watu binafsi kwa kiwango hicho hata kama watu hao wanatupa hela, Watu huisha na Nchi hubaki, ndio maana Nyerere alikwenda lakini Tanzania ikabaki, Maandiko matakatifu yameandika hivi, nanukuu, "AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU" mwisho wa kunukuu

Kuna haja sasa ya Nchi hii kuruhusu Uraia pacha ili sisi wengine tujivunie nchi nyingine badala ya kuwa Watanzania tu huku tukidhalilishwa mara kwa mara

View attachment 3034819View attachment 3034820View attachment 3034821
Hawa ni wajinga, mnawafuatilia wa nini?
 
Hawa wajinga walishatumika kuwashawishi wananchi wakubali mkataba wa ovyo wa bandari.. ni zaidi ya chawa. Walipotoka huko uarabuni wamepagawishwa na dola za kimarekani wakauza utu wao na kusifu kitu hawana uelewa nacho hata nukta. Hebu fikiri huyo stephano mengele anazungumzia mambo ya miundombinu na logistics za bandari kipumbavu kabisa kama vile nchi hii hakuna watu wenye taaluma hiyo na hata kuna chuo cha usafirishaji na mambo ya bandari. Ni watu wajinga tu hawajitambui zaidi ya kujua wana njaa ya hela.
 
Back
Top Bottom