Pre GE2025 Kitendo cha Wasanii kuvaa nguo zenye Picha ya Rais Samia Ugenini ni cha Aibu na kinadhalilisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakukuwa sababu yoyote ile ya Maana au ya Kijinga ya kufanya hivyo .

Hii ni kwa vile huko Korea hakuna anayemjua Samia, Wala hakuna Jimbo lolote la Uchaguzi wa Tanzania huko, kiasi cha hao wanaoitwa Wasanii ambao pia ni Chawa kulazimika kufanya Kampeni na kuvaa mafulana ya kiwango cha chini yenye picha ya Mtanzania mwenzao.

Ni kweli kwamba Tajiri hanuniwi, maana ndio kawapa hiyo Koneksheni, lakini tulidhani badala ya kuweka mapicha ya watu wangeweza kuweka picha za Vivutio vya Nchi yao ambavyo ni vingi mno, ambapo tunaamini utalii ungeongezeka Nchini, Ni laana kwa nchi kutukuza watu binafsi kwa kiwango hicho hata kama watu hao wanatupa hela, Watu huisha na Nchi hubaki, ndio maana Nyerere alikwenda lakini Tanzania ikabaki, Maandiko matakatifu yameandika hivi, nanukuu, "AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU" mwisho wa kunukuu

Kuna haja sasa ya Nchi hii kuruhusu Uraia pacha ili sisi wengine tujivunie nchi nyingine badala ya kuwa Watanzania tu huku tukidhalilishwa mara kwa mara

View attachment 3034819View attachment 3034820View attachment 3034821
ndio uzalendo wenyewe huo na kujivunia fahari ya Taifa letu, na kuutangaza utaifa wetu miongoni mwa mataifa ya dunia 🐒

Kwan kuna ubaya gani kwa mfano 🐒
 
Hakukuwa sababu yoyote ile ya Maana au ya Kijinga ya kufanya hivyo .

Hii ni kwa vile huko Korea hakuna anayemjua Samia, Wala hakuna Jimbo lolote la Uchaguzi wa Tanzania huko, kiasi cha hao wanaoitwa Wasanii ambao pia ni Chawa kulazimika kufanya Kampeni na kuvaa mafulana ya kiwango cha chini yenye picha ya Mtanzania mwenzao.

Ni kweli kwamba Tajiri hanuniwi, maana ndio kawapa hiyo Koneksheni, lakini tulidhani badala ya kuweka mapicha ya watu wangeweza kuweka picha za Vivutio vya Nchi yao ambavyo ni vingi mno, ambapo tunaamini utalii ungeongezeka Nchini, Ni laana kwa nchi kutukuza watu binafsi kwa kiwango hicho hata kama watu hao wanatupa hela, Watu huisha na Nchi hubaki, ndio maana Nyerere alikwenda lakini Tanzania ikabaki, Maandiko matakatifu yameandika hivi, nanukuu, "AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU" mwisho wa kunukuu

Kuna haja sasa ya Nchi hii kuruhusu Uraia pacha ili sisi wengine tujivunie nchi nyingine badala ya kuwa Watanzania tu huku tukidhalilishwa mara kwa mara

View attachment 3034819View attachment 3034820View attachment 3034821
Awamu hii ina vituko kuliko awamu zote! Na bado 25 mpaka 30!
Kwa kweli tu migrate to Burundi tu! Khaa...
 
Hivi hii safari ilikuwa na waongozaji na watayarishaji au ni waigizaji tu kwa maana ya wasanii ?
Ilikuwa fursa ya Steve and company kurekodi kabisa tamthilia kwa kupiga kolabo na kina Jumong!
Ama kweli uchawa ni big deal, yaani kodi zetu zaliwa na wasanii hivi hivi tukiona, wako wapi Gen Z wa bongo au ndo hawa machawa wanaovaa T-shirt hizi? Basi tumekwisha!!
 
Unategemea Steve awe na akili hy ?
 
Back
Top Bottom