Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali lako ni la kijingaUlitaka wavae za mbowe
AiseeeeMi nadhani tu kwamba viongozi wa nchi zingine wakikutanaga na rais wa Tz hua wanaomba sana awaeleze ni kwa jinsi gani ameweza kuwafanya wananchi wampende kiasi hiki
Bro Sonata tu haitoshi sifa zake ni zipi?View attachment 3034825
Kwa watakaouliza, iyo chuma ya nyuma ni Hyundai Sonata (2006-2010) kutoka Korea.
Tatizo steering wheel imekaa upande wa kushoto. Wapuuzi sana hawa Korea.Bro Sonata tu haitoshi sifa zake ni zipi?
Yaani mwanaume unavaa nguo ina picha ya mwanamke ambaye siyo mama yako wala mkeo?Hakukuwa sababu yoyote ile ya Maana au ya Kijinga ya kufanya hivyo .
Hii ni kwa vile huko Korea hakuna anayemjua Samia, Wala hakuna Jimbo lolote la Uchaguzi wa Tanzania huko, kiasi cha hao wanaoitwa Wasanii ambao pia ni Chawa kulazimika kufanya Kampeni na kuvaa mafulana ya kiwango cha chini yenye picha ya Mtanzania mwenzao.
Ni kweli kwamba Tajiri hanuniwi, maana ndio kawapa hiyo Koneksheni, lakini tulidhani badala ya kuweka mapicha ya watu wangeweza kuweka picha za Vivutio vya Nchi yao ambavyo ni vingi mno, ambapo tunaamini utalii ungeongezeka Nchini, Ni laana kwa nchi kutukuza watu binafsi kwa kiwango hicho hata kama watu hao wanatupa hela, Watu huisha na Nchi hubaki, ndio maana Nyerere alikwenda lakini Tanzania ikabaki, Maandiko matakatifu yameandika hivi, nanukuu, "AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU" mwisho wa kunukuu
Kuna haja sasa ya Nchi hii kuruhusu Uraia pacha ili sisi wengine tujivunie nchi nyingine badala ya kuwa Watanzania tu huku tukidhalilishwa mara kwa mara
View attachment 3034819View attachment 3034820View attachment 3034821
😆😆😆Yaani mwana
Yaani mwanaume unavaa nguo ina picha ya mwanamke ambaye siyo mama yako wala mkeo?
Na kibaya zaidi hamna undugu!
Tajirikeni tu mimi sitaki UTUMWA WA FIKIRA.
Kama wanejigharamia hayo mapichapicha ya nini?Suala la picha ya Samia limekaaa kimiyeyusho. Vinginevyo, wacha jamaa waenjoy. Suala la wao kwenda huko Korea wamegharamia kila kitu.
Hapana. Hata zenye bendera ya Taifa ingekuwa poa zaidi.Wangevaa zenye picha ya Mbowe au Lissu
Hapana, bendera ya ChademaHapana. Hata zenye bendera ya Taifa ingekuwa poa zaidi.
Mimi nadhani usingemshambulia personally mleta mada zaidi ungejikita kwenye content, ijapokuwa naelewa huwa inamaanisha nn pale mtu anapoacha mada husika na kukimbilia kupersonalize vitu....Una usongo na mama Samia?
Wewe kimekuuma nini? Si ukisafiri wewe vaa fulana ya Ngorongoro crater na mlima Kilimanjaro, au beach ya Zanzibar.
Unajuwa kuwa ukijawa na chuki humuumizi unayemchukia unajiumiza nafsi yako?
Hivi kwanini tumekuwa hivi lakini?? Tanganyika imekumbwa na nini!?Hakukuwa sababu yoyote ile ya Maana au ya Kijinga ya kufanya hivyo .