Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Hakuna chuki hapo, ni hoja kabambe tuUna usongo na mama Samia?
Wewe kimekuuma nini? Si ukisafiri wewe vaa fulana ya Ngorongoro crater na mlima Kilimanjaro, au beach ya Zanzibar.
Unajuwa kuwa ukijawa na chuki humuumizi unayemchukia unajiumiza nafsi yako?
Kwa akili za wajinga jama hao? Shifa nchi hii inawajinga wengi sanaTanzania inahitaji GEN Z zaidi ya Kenya
Wanadhalilisha NchiHawa ni wajinga, mnawafuatilia wa nini?
Mkuu usiumize kichwa hao siyo wasanii bali ni Chawa wa Samia na wenyewe wanajiita hivyo, waache na uchawa wao ila tu inaumiza kuwa kodi zetu zinatumika kiboya namna hii.View attachment 3034825
Kwa watakaouliza, iyo chuma ya nyuma ni Hyundai Sonata (2006-2010) kutoka Korea.
Hakuna hoja hapo, si mwenyewe unaona walivyopendeza? Huo ni uzalendo.Hakuna chuki hapo, ni hoja kabambe tu
ndio uzalendo wenyewe huo na kujivunia fahari ya Taifa letu, na kuutangaza utaifa wetu miongoni mwa mataifa ya dunia 🐒Hakukuwa sababu yoyote ile ya Maana au ya Kijinga ya kufanya hivyo .
Hii ni kwa vile huko Korea hakuna anayemjua Samia, Wala hakuna Jimbo lolote la Uchaguzi wa Tanzania huko, kiasi cha hao wanaoitwa Wasanii ambao pia ni Chawa kulazimika kufanya Kampeni na kuvaa mafulana ya kiwango cha chini yenye picha ya Mtanzania mwenzao.
Ni kweli kwamba Tajiri hanuniwi, maana ndio kawapa hiyo Koneksheni, lakini tulidhani badala ya kuweka mapicha ya watu wangeweza kuweka picha za Vivutio vya Nchi yao ambavyo ni vingi mno, ambapo tunaamini utalii ungeongezeka Nchini, Ni laana kwa nchi kutukuza watu binafsi kwa kiwango hicho hata kama watu hao wanatupa hela, Watu huisha na Nchi hubaki, ndio maana Nyerere alikwenda lakini Tanzania ikabaki, Maandiko matakatifu yameandika hivi, nanukuu, "AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU" mwisho wa kunukuu
Kuna haja sasa ya Nchi hii kuruhusu Uraia pacha ili sisi wengine tujivunie nchi nyingine badala ya kuwa Watanzania tu huku tukidhalilishwa mara kwa mara
View attachment 3034819View attachment 3034820View attachment 3034821
Awamu hii ina vituko kuliko awamu zote! Na bado 25 mpaka 30!Hakukuwa sababu yoyote ile ya Maana au ya Kijinga ya kufanya hivyo .
Hii ni kwa vile huko Korea hakuna anayemjua Samia, Wala hakuna Jimbo lolote la Uchaguzi wa Tanzania huko, kiasi cha hao wanaoitwa Wasanii ambao pia ni Chawa kulazimika kufanya Kampeni na kuvaa mafulana ya kiwango cha chini yenye picha ya Mtanzania mwenzao.
Ni kweli kwamba Tajiri hanuniwi, maana ndio kawapa hiyo Koneksheni, lakini tulidhani badala ya kuweka mapicha ya watu wangeweza kuweka picha za Vivutio vya Nchi yao ambavyo ni vingi mno, ambapo tunaamini utalii ungeongezeka Nchini, Ni laana kwa nchi kutukuza watu binafsi kwa kiwango hicho hata kama watu hao wanatupa hela, Watu huisha na Nchi hubaki, ndio maana Nyerere alikwenda lakini Tanzania ikabaki, Maandiko matakatifu yameandika hivi, nanukuu, "AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU" mwisho wa kunukuu
Kuna haja sasa ya Nchi hii kuruhusu Uraia pacha ili sisi wengine tujivunie nchi nyingine badala ya kuwa Watanzania tu huku tukidhalilishwa mara kwa mara
View attachment 3034819View attachment 3034820View attachment 3034821
Umesema ukweli kabisa mwamba!Huu uchawa umevuka viwango himilivu.
Ilikuwa fursa ya Steve and company kurekodi kabisa tamthilia kwa kupiga kolabo na kina Jumong!Hivi hii safari ilikuwa na waongozaji na watayarishaji au ni waigizaji tu kwa maana ya wasanii ?
KWa hio uzalendo unaonyeshwa Tanzania pekee? hao ni wajinga njaaa, hao maisha yao yote hapa Duniani ni wanaishi kwa kujikombaHakuna hoja hapo, si mwenyewe unaona walivyopendeza? Huo ni uzalendo.
Unategemea Steve awe na akili hy ?Ilikuwa fursa ya Steve and company kurekodi kabisa tamthilia kwa kupiga kolabo na kina Jumong!
Ama kweli uchawa ni big deal, yaani kodi zetu zaliwa na wasanii hivi hivi tukiona, wako wapi Gen Z wa bongo au ndo hawa machawa wanaovaa T-shirt hizi? Basi tumekwisha!!