Pre GE2025 Kitendo cha Wasanii kuvaa nguo zenye Picha ya Rais Samia Ugenini ni cha Aibu na kinadhalilisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mi nadhani tu kwamba viongozi wa nchi zingine wakikutanaga na rais wa Tz hua wanaomba sana awaeleze ni kwa jinsi gani ameweza kuwafanya wananchi wampende kiasi hiki
 
Mi nadhani tu kwamba viongozi wa nchi zingine wakikutanaga na rais wa Tz hua wanaomba sana awaeleze ni kwa jinsi gani ameweza kuwafanya wananchi wampende kiasi hiki
Aiseeee
 
Halafu bado tunajiuliza why tunaitwa nchi ya Dunia ya Tatu. Kuna vitu naamini hata mwenye picha yake anashangaa
 
Yaani mwana
Yaani mwanaume unavaa nguo ina picha ya mwanamke ambaye siyo mama yako wala mkeo?
Na kibaya zaidi hamna undugu!
Tajirikeni tu mimi sitaki UTUMWA WA FIKIRA.
 
Suala la picha ya Samia limekaaa kimiyeyusho. Vinginevyo, wacha jamaa waenjoy. Suala la wao kwenda huko Korea wamegharamia kila kitu.
 
Suala la picha ya Samia limekaaa kimiyeyusho. Vinginevyo, wacha jamaa waenjoy. Suala la wao kwenda huko Korea wamegharamia kila kitu.
Kama wanejigharamia hayo mapichapicha ya nini?
 
Kumbe picha ya rais mnaijua eeeh? Maana kuna mjinga alichoma mkasema makaratasi hao wamevaa sare zao mnaona wamefaidi
 
Una usongo na mama Samia?

Wewe kimekuuma nini? Si ukisafiri wewe vaa fulana ya Ngorongoro crater na mlima Kilimanjaro, au beach ya Zanzibar.

Unajuwa kuwa ukijawa na chuki humuumizi unayemchukia unajiumiza nafsi yako?
Mimi nadhani usingemshambulia personally mleta mada zaidi ungejikita kwenye content, ijapokuwa naelewa huwa inamaanisha nn pale mtu anapoacha mada husika na kukimbilia kupersonalize vitu....
 
Tutafuteni ela jamn sio kila kitu cha kukiekea makasriko xx hata t shirt tuhh ifanye watu mtoke povuu huu c ujinga xx
 
Hivi kwanini tumekuwa hivi lakini?? Tanganyika imekumbwa na nini!?

Hapana aisee hii ni aibu aibu ambayo naona Mimi!! 2025 tuondoe hii aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…