Pre GE2025 Kitendo cha Wasanii kuvaa nguo zenye Picha ya Rais Samia Ugenini ni cha Aibu na kinadhalilisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Hakuna chuki hapo, ni hoja kabambe tu
Bora wasanii wa muziki kuliko hao ni shida,ukute wanajiona sana uko korea
 
Kama tunataka sanaa ya uigizaji uikue, tupeleke wakufunzi wa fine arts, na wanafunzi wa fine arts waende Korea, Philippines,, Uchina na Japan Hata Mexico au Brazil wakapige practical training, Hawa bongo move wapewe connection za kufanya korabo tu.
 
Wangevaa zenye picha ya Mbowe au Lissu
Usingejibu hivyo ningeshangaa sana!

Hao wasanii kuvaa hivyo ilikuwa sio matakwa yao, hiyo safari walienda kwa hisani ya watu wa...vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Siku si nyingi watalia michozi mingi sana

Tuliona Alivyo potea mwendawazimu wa chato watoto wake walilia michozi mingi mno
 
Mbona kama babaake king Yuri wa kene jumong uyu
 
Tunaaibika sana watanzania wote tunaonekana wehu, nchi kama iyo tungetangaza utalii like Kilimanjaro Serengeti pia kwenye mikataba tunatakiwa kubagain watupe technology mfano apo wapelekwe wasomi wataalam wakajifunze tufike mahali tujenge Barabara wenyewe kupitia wataalam Ivo ndio namna ya kuwafaidi hao watu. Aah kummmae sana bas tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…