MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Taarifa za ndani nilizozipata kutoka Jikoni katika Klabu moja na hata kule Kwenyewe kabisa CAF ni kwamba kama kuna Refa ( Mwamuzi ) ambaye atachunguzwa mno Maamuzi yake Kiuchezeshaji Siku hiyo basi ni huyu kutoka Congo DR.
Na Watu fulani wasivyo na Siri mpaka akina MINOCYCLINE tunapata Taarifa zao ni kwamba kuna mpango Siku ambayo Mwamuzi huyo ataingia Tanzania basi nje ya Wale Maofisa wa Shirikisho, wa Serikalini ( BMT ) na Wawili wa Klabu husika kwenda Kumuona ( Kumpoza ) pia Wataambatana na Wachezaji tegemezi wa Klabu wanaotokea Congo DR atokako Refa ( Mwamuzi ) ili na Wao wakamshawishi 'Wa Nyumbani' Mwenzao ili awabebe kwani baada ya Kuambiwa Mechi yao ya Marudiano nchini Algeria itakuwa Ngumu na kutakuwa na Fitna za kila aina Wahusika kwa Kusaidiwa na Serikali wanataka Kuimaliza mazima hii Mechi hapa hapa Dar es Salaam Tanzania Jumapili ya tarehe 28 Mei, 2023.
Kuwemi makini sana MINOCYCLINE "Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person" Nawaonya / Nawaonyeni mapema msije kuanza Kulaumiana janja yenu ikojulikana na CAF kisha mkalimwa Rungu kama Klabu na Nchi nayo ikalimwa Rungu na Pesa zisizo na Kazi za Mama yenu zikaishia Kulipia Faini CAF na Mahakamani CAS.