Taja hizo timu.Nenda Italy ukaone timu za miaka zaidi ya hiyo zina hudumiwa na viwanja vya manispaa, huo ni mfano tu
Mifano mingi ipo huku afrika, marekani zote mbili na asia
Hatupingi maendeleo ila hilo ni jambo la kawaida!
Timu yangu ni Azam FC!Timu yako ina uwanja?
Mali ikiwa yako haina maana una weza itumia utakavyo!Kama mnaona ni kawaida kama Milan Italy basi mkae kimya mwenye Mali akitaka kutumia chake.
Wapo wanao zifahamu ata bila mimi kuzitaja, mbumbumbu kama wewe huwezi kufahamuTaja hizo timu.
Acha umbumbumbu
Akili zako kama za Chidi Benz!Wapo wanao zifahamu ata bila mimi kuzitaja, mbumbumbu kama wewe huwezi kufahamu
Uwanja wetu upo kwenye matengenezo kw ajili ya super leagueIna maana Simba hamna uwanja wenu mnategemea fadhila toka kwa Azam kweli!!!!!!?
Aibu yenu,
na utopolo aibu yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku utopwinyo wakimilik shamba la mpungaTimu imeanzishwa 1936 mpaka leo haina uwanje wake, ni uMBUMBUMBU