Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Taja hizo timu.Nenda Italy ukaone timu za miaka zaidi ya hiyo zina hudumiwa na viwanja vya manispaa, huo ni mfano tu
Mifano mingi ipo huku afrika, marekani zote mbili na asia
Hatupingi maendeleo ila hilo ni jambo la kawaida!
Acha umbumbumbu