Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam

Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam

Nenda Italy ukaone timu za miaka zaidi ya hiyo zina hudumiwa na viwanja vya manispaa, huo ni mfano tu

Mifano mingi ipo huku afrika, marekani zote mbili na asia

Hatupingi maendeleo ila hilo ni jambo la kawaida!
Taja hizo timu.

Acha umbumbumbu
 
Kama mnaona ni kawaida kama Milan Italy basi mkae kimya mwenye Mali akitaka kutumia chake.
Mali ikiwa yako haina maana una weza itumia utakavyo!

Hiyo mali unayo milki wewe si mali yako ni kama mtoto alivyo

Tafsiri za sheria zipo wazi, kama azam ameamua kukodisha basi afate sheria na taratibu, kukiuka kisa ni mali yako una pelekea kujiletea shida
 
Hv Genta kumbe anajuaa mambo ya forex na crypto naona Avatar kaweka mambo yake
 
Azam na CEO wao ningewaona wajanja kama wangefuzu hata second preliminary stage, lakin kwa ujinga wao watazid kuwa washiriki tu wanacheza mechi mbili then out.
 
Back
Top Bottom