Charmaine
Member
- Jan 4, 2023
- 61
- 161
Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine hujafanya hivi au kisa leo inacheza timu usioipendaMoyoni mwako?
Uwanja upo Chini ya CAF umekodishwa hili ni kosa la kwanza ila lingine nchi ipo vitani wewe unataka timu ifanye Mazoezi Uwanja Nyasi Bandia ndio isafiri Dodoma ikacheze Nyasi za Kawaida kuna akili hapo au mbinu zenu tu.
Popat Umedhalilisha Waajiri wako, Timu yako na Wamiliki wa Uwanja kwa nchi na CAF kwa huu ujinga uliofanya kisa tu wewe ufurahi kwa Timu ya mapenzi yako Yanga ambayo unaishabikia toka ukiwa Unakaa na kusoma Kariakoo. UMESHINDWA