Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam

Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam

Charmaine

Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
61
Reaction score
161
Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine hujafanya hivi au kisa leo inacheza timu usioipendaMoyoni mwako?

Uwanja upo Chini ya CAF umekodishwa hili ni kosa la kwanza ila lingine nchi ipo vitani wewe unataka timu ifanye Mazoezi Uwanja Nyasi Bandia ndio isafiri Dodoma ikacheze Nyasi za Kawaida kuna akili hapo au mbinu zenu tu.

Popat Umedhalilisha Waajiri wako, Timu yako na Wamiliki wa Uwanja kwa nchi na CAF kwa huu ujinga uliofanya kisa tu wewe ufurahi kwa Timu ya mapenzi yako Yanga ambayo unaishabikia toka ukiwa Unakaa na kusoma Kariakoo. UMESHINDWA
 
Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha
Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine hujafanya hivi au kisa leo inacheza timu usioipenda
Moyoni mwako?
Uwanja upo Chini ya CAF umekodishwa hili ni kosa la kwanza ila lingine chi ipo vitani wewe unataka timu ifanye Mazoezi Uwanja Nyasi Bandia ndio isafiri Dodoma kacheza Nyasi za Kawaida kuna akili hapo au mbinu zenu tu.

Jengeni viwanja vyenu, siyo kulilia mali za watu, Azam complex ni uwanja wa timu ya Azam,.
 
Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha
Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine hujafanya hivi au kisa leo inacheza timu usioipenda
Moyoni mwako?
Uwanja upo Chini ya CAF umekodishwa hili ni kosa la kwanza ila lingine chi ipo vitani wewe unataka timu ifanye Mazoezi Uwanja Nyasi Bandia ndio isafiri Dodoma kacheza Nyasi za Kawaida kuna akili hapo au mbinu zenu tu.
Popat Umedhalilisha Waajiri wako, Timu yako na Wamiliki wa Uwanja kwa nchi na CAF kwa huu ujinga uliofanya kisa tu wewe ufurahi kwa Timu ya mapenzi yako Yanga ambayo unaishabikia toka ukiwa Unakaa na kusoma Kariakoo. UMESHINDWA
Timu imeanzishwa 1936 mpaka leo haina uwanje wake, ni uMBUMBUMBU
 
Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine hujafanya hivi au kisa leo inacheza timu usioipendaMoyoni mwako?

Uwanja upo Chini ya CAF umekodishwa hili ni kosa la kwanza ila lingine nchi ipo vitani wewe unataka timu ifanye Mazoezi Uwanja Nyasi Bandia ndio isafiri Dodoma ikacheze Nyasi za Kawaida kuna akili hapo au mbinu zenu tu.

Popat Umedhalilisha Waajiri wako, Timu yako na Wamiliki wa Uwanja kwa nchi na CAF kwa huu ujinga uliofanya kisa tu wewe ufurahi kwa Timu ya mapenzi yako Yanga ambayo unaishabikia toka ukiwa Unakaa na kusoma Kariakoo. UMESHINDWA
kwani si mjenge uwanja wenu yanini kunyanyasika wakati team ya simba ni kubwa..
 
Je uwanja mlikodi kwa muda gani? Sio mmelipia uwanja kwa masaa matatu jumapili halafu mkataka kufanya na mazoezi bure,

Je mlilipia kufanya mazoezi? Kama mlilipia kufanya mazoez na match na mmedhulumiwa bas sawa,
Ila kama mlilipia kucheza match tu hamna haki,

Mana ule uwanja kuna bei kwa ajiili ya kuutumia, match, mazoez nk
 
Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine hujafanya hivi au kisa leo inacheza timu usioipendaMoyoni mwako?

Uwanja upo Chini ya CAF umekodishwa hili ni kosa la kwanza ila lingine nchi ipo vitani wewe unataka timu ifanye Mazoezi Uwanja Nyasi Bandia ndio isafiri Dodoma ikacheze Nyasi za Kawaida kuna akili hapo au mbinu zenu tu.

Popat Umedhalilisha Waajiri wako, Timu yako na Wamiliki wa Uwanja kwa nchi na CAF kwa huu ujinga uliofanya kisa tu wewe ufurahi kwa Timu ya mapenzi yako Yanga ambayo unaishabikia toka ukiwa Unakaa na kusoma Kariakoo. UMESHINDWA
Kama ni kweli basi hili ni tatizo na Simba inabidi tuondokane na huu unyonge tunaweza kufanya kitu.
Hawa mamluki wa utopolo wakipata nafasi huwa wanaonesha chuki wazi wazi kwa sababu wengi wana roho za kimaskini na kichawi
 
Huyo Popat kiaz mbatata sana, leo akae mbali na sisi. Ngoja niwatonye wahuni wa Keko wakang'oe hadi masinki ya vyoo na Bulb zote. Kheri yake tushinde mechi vinginevyo atajiingiza kwenye kimbembe cha mgogoro na wahuni wa kukodi. Football Wagners
 
Tegeneza uwanja wenu na nyie.simba na Yanga mpk leo timu hazina viwanja.ni takataka tu
 
Kama ni kweli basi hili ni tatizo na Simba inabidi tuondokane na huu unyonge tunaweza kufanya kitu.
Hawa mamluki wa utopolo wakipata nafasi huwa wanaonesha chuki wazi wazi kwa sababu wengi wana roho za kimaskini na kichawi
Mkuu matajiri Simba mnacheza wapi leo kwani?
 
Back
Top Bottom