Kitendo walichonifanyia mwaka jana pale Cinemax. Kweli hawataenda Mbinguni mpaka leo nina jeraha kubwa sana

Kwani lazima kutafuna na kujaza gesi tumboni?
 
Demu wako mshamba kinoma ni kama alikuwa anataka show off mbele ya mashosti zake, kukusanya kijiji wakati out ni ya wapenzi ni ushaamba. Angekuwa mwingine mngesaidiana kulipa bill
Yule bwege nlikuja mlipizia. Siku moja nikajifanya nina shida ya 100000 ya haraka haraka aniazime sikumrudishia. Hata aliponikumbusha nilimwambia hawezi nidai 100000 wakati mi na spend naye pesa nyingi tu. Akaniambia we si mwanaume.... Nlimwambia aache ufala. Yeye anafanya kazi nami nafanya kazi. Wote tunatafuta pesa so wote tutumie.
 
I fill you bro,wanakera sana,ila sidhani kama waliwashikia bunduki,next time mwambie manzi ale kabisa kiporo mahome,mkifika ndani ni kupumuliana tu
 
Hii s

Chai kama hakufanya hiko kitendo Ila maudhui ni sahihi. Yalishanikuta pale na girlfriend wangu akiwa na mdogo wake maana kila alichokiona mbele yake yule dogo alikitaka. Bei za vitu alivyovitaja ni sahihi kabisa
watu ambao hawajakutana na mademu wa hivi watasema hii chai lakini kwa sisi malegendary tunasema hii story ni ya kweli na haina uongo hata chembe, kuna mademu wa ovyo kabisa kuna siku kidogo nitoe machozi na sikuweza kupata hamu ya kumgegeda yule manzi kwa jinsi alivyonifirisi kwa siku hiyo
 
Wabongo sisi kwa kupenda kufit-in hatujambo. Sio kila starege/entertainment ni ya kila mtu. Haikuwa lazima muende sinema mngeplay movie kwa TV mkaangalia.

Ukiingia sinema sio lazima ukanunue hivyo viburudisha mdomo, unaweza tamaza movie ukarudi kwako.

Siku moja, nikamuona Mkaka na mdada muda wa kuingia sinema, movie ya usiku saa 2, mdada amevaa Suruali ya kitambaa imemshika na camisole, nikajiuliza huyu dada yuko serious kweli? Definitely sinema sio jambo lake basi tu amebebebwa bebwa, nadhani waliondoka kabla ya muda baada ya AC za mule ndani kuchanganyia.
 
Unajua kuna vitoto humu havijui sisi legends hadi kufikia umri huu tumekutana na mikasa mingapi maishani. Mengine huwa tunanyamaza tu tunaugulia lakini siku tunapotoa ili iwe shamba darasa watoto wanadhani ni chai.

Kwa hali hii huwezi pata hamu kabisa ya kugegeda. Iliwahi nitokea kisa kingine nilimgegeda yule demu kwa hasira nikawa simalizi.... More than hours nasugua tu.... Halafu anaomba tupumzike tukipumzika nikija liamsha tena simalizi. Kumbe ni sababu ya hasira na chuki ambayo ghafla niliivaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…