Iko hivii, nchi yetu ina raia masikini wa kutosha tu
Sasa masikini wanakawaida ya kupendana kinafiki
Yaani anapenda kusikia masikini mwenzake anauguliwa, kafiwa, kapata ajali, kaunguliwa shamba au nyumba nk
Hapendi kusikia masikini mwenzake kapata kazi nzuri, mwanae kafaulu, mwanae kaolewa na tajiri nk
Na hii ndio sababu kwenye maofisi, wale watumishi wenye mishahara minono, utawakuta bado wanavaa masuruali ya mitumba na makoti ya mitumba, ili wafanane na wale akina kajamba nani lengo wasije wakarogwa kwa kuonekana wana maendeleo.
Ikatokea masikini akapata, na kuamua kuonyesha kuwa kapata, lazima atazushiwa ya kuzishiwa, mara ooo freemason, auza ngada, shoga na kejeli kedekede, lakini yote hii ni ile kwann masikini yule kapata.
Chuki hii ni kama hii iliyoonyeshwa na mleta uzi na wote waliodisi kitenge kushowoff, tukubali tu, maisha ni kuchakalika, hao waajiri kama akina majizo sio roho za korosho, kama kazi zake unapiga fresh, hawezi kukuzuia kupiga michongo yako mingine, mjini kuchakalika. Kama anafuatilia nafasi VOA mpaka akwambie, yeye anakuonyesha anaenda USA, ili ujue kunaendeka, tega mitego na wewe uende acha kuwanga ewe masikini.