Kitenge ana shughuli gani Marekani?

Ni kama wanaoneshana umwamba na akina Edo Kumwembe na Shafii Dauda
Shaffih na Kumwembe hawa ni wadananda wa Samatta , wanasafiri sana kwa hisani ya Samatta. Kitenge sijui ni mdananda wa nani!?
 
Hizo hoja za uchumi wa kati kapeleke kwenye jukwaa la uchumi na biashara. Hii ni celebrities forum, so kuwajadili celebrities ndio sehemu yake.
 
Kitenge ni mtu wa kitengo. Utangazaji ni kuzuga tuu.

Kumbuka alivyo izima issue ya nape , kwa kuwazuia wale vijana wasifanye upumbavu.

Sijui kitengo hiki cha tiss cha kuzurura kinaitwaje, ila wapo wengi sana .

Kuna makundi mawili

Kundi la kwanza ni wale wanaotembea ndani.

Hawa kila kukicha ni kusafiri tuu, mikoa yote kata zote wanazijua.

Kundi la pili ndio hawa kina kitenge wao ni ndege tuu.

 
Hizi mada hazifai kujadiliwa na wanaume marijali!

Zinadhalilisha uanamume na taaluma ya kiume

Kama hii ndio mijadala ya wanaume, wanawake wana haki ya kudai usawa!


GENTLEMEN STOP THIS
Acha vihoja. Vipi wewe unachangia uzi ambao hauna maana, ilhali kuna majukwaa kibao yenye uzi zenye maana!?
 
Wengi wamekuja kuniattack lakini wewe umejibu vyema sana.
Maana hata mimi nilianza kuwa na mashaka, kwanza gharama, pili hali ya dunia ya sasa na yeye umuhimu wa kuwa huko wakati huu.
 
Hii tabia ya ku post sijui upo wapi naichukia
ni mtizamo wako tu. binafsi sioni tatizo especially kwa mtu ambaye anapenda kusafiri na masuala ya adventure.

ndio maana google kwa kulitambua hilo, wakaweka option ya kuonyesha jina la location ulipo.
 
Huyu jamaa limbukeni sana
 
Kuna wajinga wamekuja kwenye huu uzi kuponda hoja iliyopo. Eti wivu, tafuta kazi na upuuzi kwingine kama huo!
Mleta mada kauliza swali fikirishi, kama huna jibu funga domo. Kama hutaki kujadili watu in positive way, jadili ngamia na kondoo kwani nani kakuzuia.

Huwezi kuishi bila kusema watu unless uwe kilaza tu mtaani. Lazima ujue fulani katumia njia gani kufanikiwa, nani kafanya hiki, huyu kakosea wapi, huyu anafanya nini na kina manufaa gani. Kwa njia hiyo uweze kumuiga mazuri yake, kumkwepa mabaya, kumkosoa au kujifunza.
Vilaza wanaita "wivu". Sijui wanajua maana ya hilo neno.
 
Dalili ya kukosa Cha kufanya

Unahangaika kujua mtu anafanya nini?

Umemaliza ya kwako?
 
Hizo hoja za uchumi wa kati kapeleke kwenye jukwaa la uchumi na biashara. Hii ni celebrities forum, so kuwajadili celebrities ndio sehemu yake.
sawa lakini tuangalie ya kujadili pia kaka...kweli unaanza kunijadili kwann napanda ndege au nmeenda kufanya nn kweli ni hoj???kwann isingekuja hoja mezani kwamba namna maulid kitenge anavopambana kujibrand hauoni ingekuwa hoja nzuri mbele ya umma au kwa kuwa ni maulid basi ndo hata akipenga makamasi tayari kwetu ni topic???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…