Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Mtoa mada nawe fight utafika tu.
Maisha yake muachie yeye mwenyewe.
Maisha yake muachie yeye mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani fanya hivyo utaona kawaida kabisaSawa meku ngoja nijifanye sijaona
Hakuna anayechukia. Na sio kufatilia life style yake ni yeye ndio kayaweka hadharani. Imeulizwa hasa kuhusiana na tasnia ya michezo sio maisha binafsi.Waafrika tunashida sana , yaani unachukia mtu kuishi maisha yake kwani alishawai kuwaomba nauli that's why hatuendelei badala ya kufanya yako unafuatilia life style ya mtu, huo ndio uwaki
Mleta uzi kaileta kizandiki alianza vizuri ila akamalizia kimajungu na kizandikiHakuna anayechukia. Na sio kufatilia life style yake ni yeye ndio kayaweka hadharani. Imeulizwa hasa kuhusiana na tasnia ya michezo sio maisha binafsi.
uzi unamuongelea kitenge ila si yeye tu, hii tabia imejikita kwa hao tunaowaita vioo vya jamii na ndio sasa si inanaonekana ndicho kitu tunachopendelea?? umenielewa?Umeelewa hichi ulichoreply?
Vp unaumia ama?!Hivi ingekua kaenda kwao Kijijini angejinadi hivyo na mapicha? nauliza tu.
[emoji106]Usichukie mkuu wewe soma tu nakupita inakuwa ni hulka yake usiumie
Anakwenda kwa mkewe.Hello JF,
Baraka za Mungu zitande juu yenu katika kutafuta mkate wa leo.
Sasa wakuu iko hivi, ni karibu mwezi sasa huyu mwanahabari na mdau wa michezo nguli yuko kwa Trump. Hata habari huwa anareport kutokea huko. Ninachojiuliza kwa sasa kuna umuhimu gani yeye kuwa huko. Najua kwa aina ya kazi yake kusafiri ni kawaida hususani kama kuna tukio la kimichezo kwenye nchi husika.
Lakini kwa sasa huko alipo hakuna tukio lolote la kimichezo hata habari anazoreport huwa ni kutokea hapa nchini, anazireport habari za hapa nchini akiwa USA. Sasa Je, kipi kinamfanya azurure huko USA. Je, ni kwa pesa za ofisi? Si matumizi ya pesa yasiyo ya lazima hayo?
Hivi ni kweli ana ngoma ?Atakuwa anafata dozi yake ya ule ugonjwa wake maana huwa hazidishi miezi mitatu lazma awe huko
Hii tabia ya ku post sijui upo wapi naichukia