Kitenge ana shughuli gani Marekani?

Kitenge ana shughuli gani Marekani?

Waafrika tunashida sana , yaani unachukia mtu kuishi maisha yake kwani alishawai kuwaomba nauli that's why hatuendelei badala ya kufanya yako unafuatilia life style ya mtu, huo ndio uwaki
Hakuna anayechukia. Na sio kufatilia life style yake ni yeye ndio kayaweka hadharani. Imeulizwa hasa kuhusiana na tasnia ya michezo sio maisha binafsi.
 
Hutaki mtu asafiri for his private issues?

Sio rahisi uyajue yote ya kila mtu.

-Kaveli-
 
Hello JF,

Baraka za Mungu zitande juu yenu katika kutafuta mkate wa leo.

Sasa wakuu iko hivi, ni karibu mwezi sasa huyu mwanahabari na mdau wa michezo nguli yuko kwa Trump. Hata habari huwa anareport kutokea huko. Ninachojiuliza kwa sasa kuna umuhimu gani yeye kuwa huko. Najua kwa aina ya kazi yake kusafiri ni kawaida hususani kama kuna tukio la kimichezo kwenye nchi husika.

Lakini kwa sasa huko alipo hakuna tukio lolote la kimichezo hata habari anazoreport huwa ni kutokea hapa nchini, anazireport habari za hapa nchini akiwa USA. Sasa Je, kipi kinamfanya azurure huko USA. Je, ni kwa pesa za ofisi? Si matumizi ya pesa yasiyo ya lazima hayo?

Anakwenda kwa mkewe.
 
Back
Top Bottom