Kitenge ana shughuli gani Marekani?

Kitenge ana shughuli gani Marekani?

Maulid kitenge bila shaka ana inshu zake tu huko ila nae amezidi maonyesho aisee japo pia hela ni zake lakini duu! Isiwe ndo hushpupp wa pili huyu 🤪
 
Kitenge ni celebrity probably amepata host ambae
ame moffer Staying+ Return ticket hio ni kawaida ukiwa na marafiki Abroad afu kwa nature ya kazi yake si lazima awepo ofisini ndio afanye kazi ata mimi nilipata offer kwa rafiki yangu mfinland ya makorokoro yote ila sikwenda kwa sababu zangu binafsi
 
Hello JF,

Baraka za Mungu zitande juu yenu katika kutafuta mkate wa leo.

Sasa wakuu iko hivi, ni karibu mwezi sasa huyu mwanahabari na mdau wa michezo nguli yuko kwa Trump. Hata habari huwa anareport kutokea huko. Ninachojiuliza kwa sasa kuna umuhimu gani yeye kuwa huko. Najua kwa aina ya kazi yake kusafiri ni kawaida hususani kama kuna tukio la kimichezo kwenye nchi husika.

Lakini kwa sasa huko alipo hakuna tukio lolote la kimichezo hata habari anazoreport huwa ni kutokea hapa nchini, anazireport habari za hapa nchini akiwa USA. Sasa Je, kipi kinamfanya azurure huko USA. Je, ni kwa pesa za ofisi? Si matumizi ya pesa yasiyo ya lazima hayo?

kwahiyo na ww kesho ukisafiri tuanze kuhoji kwann umesafiri ni sawa kabisa au tunaanzusha mjadala kwakuwa tuna njaa na tuna bando za 500 tigo ??tufuteni mambo ya msingi ..tunakaa watu wazima tuanze kujadili kwann kasafiri au kaka ufikiriaji wako umeishia hapo ndugu yangu au ni vipi tukueleweje??na kama ni mwanaume kajichunguze uanaume sio tu kusimamisha uanaume ni kuongea mambo ya msingi..kumbuka hata punda anasimamisha

jenga hoja za msingi..unakuja na uzi na hatuna namna utakuiwa mshabiki wa yanga tu mbona wenzako tumekaa kwa kutulia baada ya kichapo ww unaugua nn mwenzetu au ndo umekula bangi kavu
 
Maulid kitenge bila shaka ana inshu zake tu huko ila nae amezidi maonyesho aisee japo pia hela ni zake lakini duu! Isiwe ndo hushpupp wa pili huyu 🤪
kwann wabongo tuko hivi maonensho gani unayosema ww ya 77 au yap 88 au ???jenga hoja na tujadili hoja zenye mantiki...ok kaenda kusalimia familia eehh alafu tunajadili nn sasa???tusiwe hivo...kumbukeni tuko uchumi wa kati..jenga hoja za uchumi wa kati
 
watanzania wenzangu mjitathmini tunatakiwa kuongea kama watu ambao tuko kwenye uchumi wa kati sio kuanza kuleta hoja utadhani wote tuliamka bar jana na tumeonana JF leo.....we need to be matured....

mnijadili na mimi sasa maana niko kwa mchepuko huku..au kwakuwa sijulikani..maana kila kitu tunaongea sie utadhani tumerogwa
 
kwahiyo na ww kesho ukisafiri tuanze kuhoji kwann umesafiri ni sawa kabisa au tunaanzusha mjadala kwakuwa tuna njaa na tuna bando za 500 tigo ??tufuteni mambo ya msingi ..tunakaa watu wazima tuanze kujadili kwann kasafiri au kaka ufikiriaji wako umeishia hapo ndugu yangu au ni vipi tukueleweje??na kama ni mwanaume kajichunguze uanaume sio tu kusimamisha uanaume ni kuongea mambo ya msingi..kumbuka hata punda anasimamisha

jenga hoja za msingi..unakuja na uzi na hatuna namna utakuiwa mshabiki wa yanga tu mbona wenzako tumekaa kwa kutulia baada ya kichapo ww unaugua nn mwenzetu au ndo umekula bangi kavu
Povu😀😀
 
Wacha ale maisha bana.......tukijua itatusaidia nn sasa?
 
May be kamfata chitala @ Rose chitala mnk huwa wnaonekana pmj pande hzo niliisi ni demu wake huyo
 
Ungeuliza sikuile Kitenge mbona alikua karibu sana na Nape alivyotaka kufokolewa na Henry Kisanduku???

Hata hivyo haya ni mambo ya siasa😢😢
 
Itakua kamfuara Roma maana jamaa kalowea kule.
Ahahahahah
 
Hii tabia ya ku post sijui upo wapi naichukia
Kwa hali halisi ya maambukizi huko aliko sijui anawaza nini? Akirudi bongo awekwe 'self isolation'
Ni zaidi ya ushamba kupost shughuli zako za kila siku
....labda aliahidiwa kazi cnn kwani bbc ilishindakana....najisemesha tu
 
Hizi mada hazifai kujadiliwa na wanaume marijali!

Zinadhalilisha uanamume na taaluma ya kiume

Kama hii ndio mijadala ya wanaume, wanawake wana haki ya kudai usawa!

GENTLEMEN STOP THIS
Naona tafsiri imekuja tofauti sana.
 
Back
Top Bottom