Kitengo Cha habari Cha Yanga kimepwaya,kwa miaka mitano kimeshindwa kuteka kizazi kipya Cha mashabiki hatimae wanachama

Monomer

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2023
Posts
720
Reaction score
1,410
Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani.

Kilele cha mwananchi kesho ipo kama haipo,jezi zinatoka hata hazipewi promo yote hii nikutokana na kukosa kizazi cha gen-z ambacho ni mashabiki lia lia wa timu cha kupush mambo mtandaoni.

Kipindi Simba anafanya vizuri miaka ile minne manara alifanikiwa kuteka kizazi kipya ambacho kilikua kinakua na sasa ndo hao wengine sasa wanajiita wachambuzi wa kuikandia yanga mitandaoni.Lakini jambo Hilo kwa yanga limeshindikana profession kwenye habari inatakiwa lakini pia kulingana na utamaduni wetu alipaswa awepo pia mtu lopo lopo ilimradi asivunje kanuni tu wa kupush ajenda.
 
Kizazi kipya gani unachokisema? Gen Z wa sasa wanataka timu inayoshinda back to back, hawadanganyiki na porojo za mitandaoni!

Kilele cha Mwananchi kipo palepale na kitajaa, acheni wivu wa kike na propaganda zenu za mitandaoni kuichafua timu yetu!
 
Kwa Ujumla kuna sehemu pamepwaya inabidi ukweli usemwe..

Leo nikiwa kwenye Mizinguko yangu ya Nane nane hapa Mbeya unajua sioni Jezi mpya za Yanga madukani.?
Kuna sehemu yanga wameshindwa kuelewa ilitakiwa wale wachambuz ambao wanaegemea upande wa yanga wawe wanashikwa mkono,waandishi wote wa habari za michezo wanaoisupport yanga washikwe mkono,kitengo cha dijital kimelala vibaya huwezi ona ata kimepost clip ya mchezaj yeyote wa yanga au ata kumfanyia promo japo hii nayo ni kibiashara zaidi,ajilini hata mwanahabari mmoja wa nje apushi kimataifa mi siamin kama yule micky hapewi chochote kitu na simba.
 
Mbona mkuu wa idara hiyo ni kijana mdogo kashindwa nini?
 
Taarifa za uzushi juu club kila siku zinaibuka wala huwezi ona reaction yoyote ya club kusahihisha ili kuondoa image mbaya ya timu manake hapo si watu wanamezeshwa uongo na kuamini ni ukweli kitu kinachoshusha brand ya timu.Post za yanga siku hizi huwezi kuta comment hata 100 hiyo yote inaonyesha kwamba ushawishi umepungua sana kizazi cha genz hakina interest na habari za yanga wamebaki wazee ambao kwenye digital ptatform hawapo tena
 
Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani.

Kilele cha mwananchi kesho ipo kama haipo,jezi zinatoka hata hazipewi promo yote hii nikutokana na kukosa kizazi cha gen-z ambacho ni mashabiki lia lia wa timu cha kupush mambo mtandaoni.

Kipindi Simba anafanya vizuri miaka ile minne manara alifanikiwa kuteka kizazi kipya ambacho kilikua kinakua na sasa ndo hao wengine sasa wanajiita wachambuzi wa kuikandia yanga mitandaoni.Lakini jambo Hilo kwa yanga limeshindikana profession kwenye habari inatakiwa lakini pia kulingana na utamaduni wetu alipaswa awepo pia mtu lopo lopo ilimradi asivunje kanuni tu wa kupush ajenda.
bwa mdogo inaonekana umeanza kushabikia simba wakati hadji manara ni msemaji wa simba na ndiye alikhvutia huko.
 
Sijui kama kilichoandikwa umeelewa au umekota neno manara tu jaribu kusoma hata comment zilizofatia unaweza ukapa hata pa kuanzia.Kwenye ushabiki wowote hua kuna chanzo kinacho mvutia mtu kushabikia na ndio maana interview za makampuni/taasisi hua kuna swali linauliza utaifanyia nini kampuni/taasisi au kwanini tukuajili wewe sasa kama mtu hawezi kupamba taasisi yake ikavuna wanachama wapya,ikavuta wawekezaji wapya mapato yakaongezeka hatimae nayeye akapata bonus nzuri manake huyo mtu anakua hatoshi.
 
Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani.

Kilele cha mwananchi kesho ipo kama haipo,jezi zinatoka hata hazipewi promo yote hii nikutokana na kukosa kizazi cha gen-z ambacho ni mashabiki lia lia wa timu cha kupush mambo mtandaoni.

Kipindi Simba anafanya vizuri miaka ile minne manara alifanikiwa kuteka kizazi kipya ambacho kilikua kinakua na sasa ndo hao wengine sasa wanajiita wachambuzi wa kuikandia yanga mitandaoni.Lakini jambo Hilo kwa yanga limeshindikana profession kwenye habari inatakiwa lakini pia kulingana na utamaduni wetu alipaswa awepo pia mtu lopo lopo ilimradi asivunje kanuni tu wa kupush ajenda.
Asma majeed alaumiwe..
 
Kwahio sisi Simba tumewekeza kwenye porojo za mtaani kuliko kwenye pitch? miaka 5 yote hakuna ubingwa tunaona kitu cha kawaida?
 
Kikubwa timu ifanye vizuri tu uwanjani utapata mashabiki hadi Asia lakini ukitegemea wasemaji kwenye karne hii ya AI utachekwa.
 
Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani.

Kilele cha mwananchi kesho ipo kama haipo,jezi zinatoka hata hazipewi promo yote hii nikutokana na kukosa kizazi cha gen-z ambacho ni mashabiki lia lia wa timu cha kupush mambo mtandaoni.

Kipindi Simba anafanya vizuri miaka ile minne manara alifanikiwa kuteka kizazi kipya ambacho kilikua kinakua na sasa ndo hao wengine sasa wanajiita wachambuzi wa kuikandia yanga mitandaoni.Lakini jambo Hilo kwa yanga limeshindikana profession kwenye habari inatakiwa lakini pia kulingana na utamaduni wetu alipaswa awepo pia mtu lopo lopo ilimradi asivunje kanuni tu wa kupush ajenda.
Gen z wengi ni mashabiki wa Simba, kwa kuwa kundi hilo kubwa lilianza kushabikia Mpira wakati Simba iko hot hasa Kimataifa.
Yanga itapaswa kusubiri miaka 5-10 mbele ili kontena la mashabiki wapya dogodogo lianze kushika hela.
 
Back
Top Bottom