Kuna sehemu yanga wameshindwa kuelewa ilitakiwa wale wachambuz ambao wanaegemea upande wa yanga wawe wanashikwa mkono,waandishi wote wa habari za michezo wanaoisupport yanga washikwe mkono,kitengo cha dijital kimelala vibaya huwezi ona ata kimepost clip ya mchezaj yeyote wa yanga au ata kumfanyia promo japo hii nayo ni kibiashara zaidi,ajilini hata mwanahabari mmoja wa nje apushi kimataifa mi siamin kama yule micky hapewi chochote kitu na simba.Kwa Ujumla kuna sehemu pamepwaya inabidi ukweli usemwe..
Leo nikiwa kwenye Mizinguko yangu ya Nane nane hapa Mbeya unajua sioni Jezi mpya za Yanga madukani.?
Ndo maana ya kupwaya kwenyewe wote ni vijana lakini hawana ushawishiMbona mkuu wa idara hiyo ni kijana mdogo kashindwa nini?
bwa mdogo inaonekana umeanza kushabikia simba wakati hadji manara ni msemaji wa simba na ndiye alikhvutia huko.Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani.
Kilele cha mwananchi kesho ipo kama haipo,jezi zinatoka hata hazipewi promo yote hii nikutokana na kukosa kizazi cha gen-z ambacho ni mashabiki lia lia wa timu cha kupush mambo mtandaoni.
Kipindi Simba anafanya vizuri miaka ile minne manara alifanikiwa kuteka kizazi kipya ambacho kilikua kinakua na sasa ndo hao wengine sasa wanajiita wachambuzi wa kuikandia yanga mitandaoni.Lakini jambo Hilo kwa yanga limeshindikana profession kwenye habari inatakiwa lakini pia kulingana na utamaduni wetu alipaswa awepo pia mtu lopo lopo ilimradi asivunje kanuni tu wa kupush ajenda.
Sijui kama kilichoandikwa umeelewa au umekota neno manara tu jaribu kusoma hata comment zilizofatia unaweza ukapa hata pa kuanzia.Kwenye ushabiki wowote hua kuna chanzo kinacho mvutia mtu kushabikia na ndio maana interview za makampuni/taasisi hua kuna swali linauliza utaifanyia nini kampuni/taasisi au kwanini tukuajili wewe sasa kama mtu hawezi kupamba taasisi yake ikavuna wanachama wapya,ikavuta wawekezaji wapya mapato yakaongezeka hatimae nayeye akapata bonus nzuri manake huyo mtu anakua hatoshi.bwa mdogo inaonekana umeanza kushabikia simba wakati hadji manara ni msemaji wa simba na ndiye alikhvutia huko.
Asma majeed alaumiwe..Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani.
Kilele cha mwananchi kesho ipo kama haipo,jezi zinatoka hata hazipewi promo yote hii nikutokana na kukosa kizazi cha gen-z ambacho ni mashabiki lia lia wa timu cha kupush mambo mtandaoni.
Kipindi Simba anafanya vizuri miaka ile minne manara alifanikiwa kuteka kizazi kipya ambacho kilikua kinakua na sasa ndo hao wengine sasa wanajiita wachambuzi wa kuikandia yanga mitandaoni.Lakini jambo Hilo kwa yanga limeshindikana profession kwenye habari inatakiwa lakini pia kulingana na utamaduni wetu alipaswa awepo pia mtu lopo lopo ilimradi asivunje kanuni tu wa kupush ajenda.
Na mwakani tena tunakunya pale vichakani na hamfanyi kitu🤣🤣Poleni sana Makolo, endeleeni kunya na kugombana na kufanya ulozi. Kumbukeni kuwa "Mwakani tena".
Gen z wengi ni mashabiki wa Simba, kwa kuwa kundi hilo kubwa lilianza kushabikia Mpira wakati Simba iko hot hasa Kimataifa.Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani.