Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Toka huu mzozo wa Israel na Palestine kushika kasi kwa sasa.
Kuna baadhi ya mambo ya nimeyang'amua yanayo onesha upuuzi wa idara mbalimbali au vitengo mbalimbali katika taifa la Israel.
Moja ya kitu kinacho nishangaza na kunipa mashaka juu ya utimamu wa kiakili wa watu wanaongoza utoaji wa maudhui katika kurasa mbalimbali za mitandaoni za Israel.
Ni namna wanavyo wasilisha maudhui yao kuhusu huu mgogoro ni kama watu walio changanyikiwa au wasiojitambua wanaweza kuandika chochote cha kipuuzi pasipo hata kupima madhara ya jumbe zao wanazo pachika mitandaoni.
Inaweza ikawa account ya jeshi, waziri mkuu au serikali ya Israel ikaandika jambo la kijinga ambalo kwa akili ya kawaida tu ni la hovyo kutolewa lakini wao wakalipachika mtandaoni.
Shahidi zao kuhusu shutuma mbalimbali wanazo pewa ni kama zinachapishwa na watu wasiojitambua au watoto wadogo ziko hovyo.
Mpaka sasa kitendo cha maudhui ya mitandaoni cha Israel kimefail vibaya na kinazidi kuwaweka uchi na kuonesha namna walivyo wapuuzi.
Hiki kitengo ni kama mtu akijisikia kuandika chochote basi ana andika na kuweka watu waone pasipo kujali madhara yake.