Kitengo cha maudhui ya mitandaoni cha Israel kinaongozwa na wahuni au watu wasiojitambua

Kitengo cha maudhui ya mitandaoni cha Israel kinaongozwa na wahuni au watu wasiojitambua

Ebu tuonyeshe hiyo account ya mossad
Sina app ya X na situmii ila ,niliona kwenye updates ya uzi wa migogoro watu wakituma post ikiwa account verified ya Mossad .

Kuna post nikakuta utoto na jokes ambazo hazifai watu kama wao kupost.
 
Kwa chuki uliyonayo dhidi ya taifa la Izirael huwezi kuona chochote Cha maana kutoka kwao
 
Sina app ya X na situmii ila ,niliona kwenye updates ya uzi wa migogoro watu wakituma post ikiwa account verified ya Mossad .

Kuna post nikakuta utoto na jokes ambazo hazifai watu kama wao kupost.
Fake news mkuu na watazame haiba na hulka ya watu waliotuma???? Je ni waandishi wa habari???
 
Toka huu mzozo wa Israel na Palestine kushika kasi kwa sasa.

Kuna baadhi ya mambo ya nimeya ng'amua yanayo onesha upuuzi wa idara mbalimbali au vitengo mbalimbali katika taifa la Israel.

Moja ya kitu kinacho nishangaza na kunipa mashaka juu ya utimamu wa kiakili wa watu wanaongoza utoaji wa maudhui katika kurasa mbalimbali za mitandaoni za Israel.

Ni namna wanavyo wasilisha maudhui yao kuhusu huu mgogoro ni kama watu walio changanyikiwa au wasiojitambua wanaweza kuandika chochote cha kipuuzi pasipo hata kupima madhara ya jumbe zao wanazo pachika mitandaoni.

Inaweza ikawa account ya jeshi, waziri mkuu au serikali ya Israel ikaandika jambo la kijinga ambalo kwa akili ya kawaida tu ni la hovyo kutolewa lakini wao wakalipachika mtandaoni.

Shahidi zao kuhusu shutuma mbalimbali wanazo pewa ni kama zinachapishwa na watu wasiojitambua au watoto wadogo ziko hovyo.

Mpaka sasa kitendo cha maudhui ya mitandaoni cha Israel kifail vibaya na kinazidi kuwaweka uchi na kuonesha namna walivyo wapuuzi.

Hiki kitengo ni kama mtu akijisikia kuandika chochote basi ana andika na kuweka watu waone pasipo kujali madhara yake
Wahi milembe haraka kabla ya tatizo kuwa kubwa.

Mi nilikuwa utataja mifano ya maudhui hayo na picha kumbe unapiga stori🙆

Ila wahi hospital ya vichaa hapo milembe kabla tatizo halijawa kubwa
 
Hawa wa Israel nikama wanamatatizo ya akili hata sura zao zinaonesha ni viumbe wa ajabu nimeona video za wasichana wa Israel waki mock watoto wakipalestina na wazazi wao kama wanaact hawafi Kweli inasikitisha sana,ila wameonesha wazi jinsi walivyo mashetani,wengi wamelaani hivyo vitendo.
 
Umeongea Nini hapa Sasa,rudia kusoma na Kisha uandike upya,haujaeleweka kabisa
Mbona ameewaka vizuri tu, wewe tu mapenzi yako kwa hao Magaidi ya kizayuni ndio yamekufanya usimuelewe.
 
Back
Top Bottom