Kitengo cha maudhui ya mitandaoni cha Israel kinaongozwa na wahuni au watu wasiojitambua

Ebu tuonyeshe hiyo account ya mossad
Sina app ya X na situmii ila ,niliona kwenye updates ya uzi wa migogoro watu wakituma post ikiwa account verified ya Mossad .

Kuna post nikakuta utoto na jokes ambazo hazifai watu kama wao kupost.
 
Kwa chuki uliyonayo dhidi ya taifa la Izirael huwezi kuona chochote Cha maana kutoka kwao
 
Sina app ya X na situmii ila ,niliona kwenye updates ya uzi wa migogoro watu wakituma post ikiwa account verified ya Mossad .

Kuna post nikakuta utoto na jokes ambazo hazifai watu kama wao kupost.
Fake news mkuu na watazame haiba na hulka ya watu waliotuma???? Je ni waandishi wa habari???
 
Wahi milembe haraka kabla ya tatizo kuwa kubwa.

Mi nilikuwa utataja mifano ya maudhui hayo na picha kumbe unapiga stori🙆

Ila wahi hospital ya vichaa hapo milembe kabla tatizo halijawa kubwa
 
Hawa wa Israel nikama wanamatatizo ya akili hata sura zao zinaonesha ni viumbe wa ajabu nimeona video za wasichana wa Israel waki mock watoto wakipalestina na wazazi wao kama wanaact hawafi Kweli inasikitisha sana,ila wameonesha wazi jinsi walivyo mashetani,wengi wamelaani hivyo vitendo.
 
Umeongea Nini hapa Sasa,rudia kusoma na Kisha uandike upya,haujaeleweka kabisa
Mbona ameewaka vizuri tu, wewe tu mapenzi yako kwa hao Magaidi ya kizayuni ndio yamekufanya usimuelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…