ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Eng Hersi naomba mfukuze kazi huyo kijana wa nyumbani Ngara Patrick Simon
Japo ni home boy ila sio mwanasheria mzuri ni kilaza tu
Yaani anashindwa kumtia hatia Ahmed Ally matusi yote anayoandika na kuongea hadharani
Alishindwa kutetea Yanga kesi dhidi Kagoma nae akashindwa kujenga hoja
Crown FM imeibuka kutukana Yanga na kuongea habari za uchonganishi ila Patrick Simon ameuchuna
Ameshindwa kuwashitaki na kudai fidia
Hao wanatangaza kuwa Yanga wanahonga waamzi mwanasheria wetu kilaza yupo tu analipwa mshahara wa ada zetu za uanachama Bure
EFM hiyo ishajifia kifo kibaya japo nae alikuja na agenda ya kuichafua Yanga.
Mwisho wa kusikika ni pale Kawe
Wilson Oruma alisema Eng Hersi Said ni kiongozi mhuni, kwanini msimtaki na kudai fidia billions 9997.7
Mwanasheria wetu kilaza hapaswi kulipwa mshahara unaotokana na ada zetu za uanachama, maana anashindwa kuitetea Yanga yetu