Kitengo cha sheria Yanga ni kibovu

Kitengo cha sheria Yanga ni kibovu

Eng Hersi naomba mfukuze kazi huyo kijana wa nyumbani Ngara Patrick Simon

Japo ni home boy ila sio mwanasheria mzuri ni kilaza tu

Yaani anashindwa kumtia hatia Ahmed Ally matusi yote anayoandika na kuongea hadharani

Alishindwa kutetea Yanga kesi dhidi Kagoma nae akashindwa kujenga hoja

Crown FM imeibuka kutukana Yanga na kuongea habari za uchonganishi ila Patrick Simon ameuchuna
Ameshindwa kuwashitaki na kudai fidia
Hao wanatangaza kuwa Yanga wanahonga waamzi mwanasheria wetu kilaza yupo tu analipwa mshahara wa ada zetu za uanachama Bure

EFM hiyo ishajifia kifo kibaya japo nae alikuja na agenda ya kuichafua Yanga.
Mwisho wa kusikika ni pale Kawe

Wilson Oruma alisema Eng Hersi Said ni kiongozi mhuni, kwanini msimtaki na kudai fidia billions 9997.7

Mwanasheria wetu kilaza hapaswi kulipwa mshahara unaotokana na ada zetu za uanachama, maana anashindwa kuitetea Yanga yetu
Mbona umechelewa kulifahamu hili..limesemwa sana humu
 
Ni kama karukwa na akili hivi hata haieleweki ameandika nini. Mara kijana wa Ngara, mara Crown hivi sijui Efm. Upuuzi mtupu.

Mbili ameandika uongo. Mtu asiye timamu huo haoni shida kupindisha vitu hata kama vimeongelewa hadharani. Jana nimesikiliza kipindi chote Crown FM, hakuna matusi yametolewa. Wanechambua vizuri sana kwa tena kwa faida ya Yanga. Wamemhoji Jerry Muro kaongea utumbo pale, Jemedari kampasua Muro akabaki kuitikia tu (Mpaka nikajiuliza aliyempa uDC huyo alitumia sifa gani).
Kifupi Yanga waache kuweka viongozi na wasemaji wahuni wahuni
HAKIKA,Ila hilo la UDC KWA TANZANIA HATA MBUZI ANAWEZA KUWA DC NA MAMBO YAKAWA TU.
 
Ni kama karukwa na akili hivi hata haieleweki ameandika nini. Mara kijana wa Ngara, mara Crown hivi sijui Efm. Upuuzi mtupu.

Mbili ameandika uongo. Mtu asiye timamu huo haoni shida kupindisha vitu hata kama vimeongelewa hadharani. Jana nimesikiliza kipindi chote Crown FM, hakuna matusi yametolewa. Wanechambua vizuri sana kwa tena kwa faida ya Yanga. Wamemhoji Jerry Muro kaongea utumbo pale, Jemedari kampasua Muro akabaki kuitikia tu (Mpaka nikajiuliza aliyempa uDC huyo alitumia sifa gani).
Kifupi Yanga waache kuweka viongozi na wasemaji wahuni wahuni
Khaaaa basi sawaaa
 
Angel ni malaika
Sijawahi kusikika malaika mwanaume
Malaika Gabriel kwenye biblia alikua mwanamke??

Kwenye bible malaika wengi walikua wa kiume.

Pia nakumbuka huyu Mwanasheria Patrick Simon ameshapigwa chini Yanga.

Kama hayo yote huyajui bado tuuchukulie huu uzi wako kwa uzito mkubwa mkuu??
 
Kuna malaika mwanaume? Mtaje
Yani mashabiki wa yanga bana wanajifanya wajuaji kumbe hawajui huu ujuaji wenu nilijua upo kwenye mpira tu kumbe hadi kwenye mambo mengine, bila kujali dini unataka kusema kwamba hujawahi kusikia hata majina ya hawa malaika maarufu kina Azrael/Israel (wa kifo), Gabriel/Djibril (wa ujumbe), Michael (wa vita) nk, haya hebu tutajie na wewe majina ya hao malaika wanawake angalau watatu tu
 
Sawa mrembo wangu kunywa maji mengi
 
We ukiona kijana anakipara kikubwa vle jua apo kuna ttzo
Sasa yule mwanasheria na kipara chake kikubwa vle
 
Back
Top Bottom