Kitengo cha uamasishaji Yanga imefeli sana

Kitengo cha uamasishaji Yanga imefeli sana

Timu hiyohiyo unayosema imefeli ndio pekee walioko kwenye tuzo hizo, tena mojawapo wakiwania klabu bora.

Ungetafakari hilo kabla ya kuleta huu ujinga wako hapa.
B..., huoni kama kuna some points jamaa amesema kweli? Naona kama mko nyuma kwenye international issues. Fikiria.

Ova
 
Timu ya Yanga imepata nafasi ya kuingia katika tuzo za CAF katika vipengele viwili.
Cha kwanza ni kipa bora wa msimu
Na ya pili ni klabu bora ya msimu.
Ukiangalia, tokea ushindi wa goli tano zidi ya mtani wake wao wamekomaa na ishu hiyo hiyo moja na wakati mechi imeisha na hata ukisema uizungumzie mwezi mzima hakuna manufaa yeyote yale.

Baada ya ile mechi, nguvu kubwa ilipaswa ku focus kwenye tuzo za CAF kwa kuhamisisha watu mitandaoni na kwenye vyombo vya habari ikiwemo redio, tv na magezeti kuwaelekeza namna ya kupiga kura ili kujiongezea nafasi zinazowaniwa.

Timu ya Simba inapofikia maswala ya kupiga kura, utaona wanahamasishana kwenye kurasa rasmi za klabu, magroup mbalimbali na hata humu hufungua nyuzi juu ya kuwahamasisha mashabiki wao.

Lakini upande wa Yanga wameonesha kushindwa kumudu hilo jambo, sio afisa habari wala digital manager wote wapo wapo na mambo ya upuuzi uliopita na mechi iliyopita.
Mpaka sasa Diarra hayupo kwenye kinyang'anyiro cha tuzo hizo.
Hata kama keshatolewa, bado anabaki na ile heshima ya "one of the best ten" goalkeepers in Africa
 
Nyie uto siwakubali ila naona kama mnaweza beba tuzo ya timu bora. Msimu uliopita upepo kweli ulikuwa upande wenu
Simba mwenye akili mmoja tu Rage the Great wengine wote mbumbumbu ila nakuona kama nawewe unaanza kwa Mbali kuwa na akili kiduuuuuchu!

Kuna mbumbumbu mmoja eti kasema 5G ni Kosa la Manula wakati mipira imepita ngazi tatu za kiwanja hadi kufika kwake!! Kweli Simba mnaweweseka mno na Bado derby ijayo inakuja wiki ( Yanga 7- Simba 0)
 
Wa mwisho kwenye msimamo wa tuzo[emoji2960][emoji2960][emoji2960]

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Mbumbumbu imekuuma sana Yanga kuingia kwenye Tuzo za kibabe Africa huku Simba ya matopeni ikibaki level za JKT na KMC za kupigwa 5G na wanaume kina Max Nzegeli na Ki Aziz!!
Mwaka huu Makolokwinyo mtatukoma! Sherehe zetu miezi 6!
 
5-0.mbona mlishapigwa na mnyama mnasahau?
Mla ni mla Leo mla Jana kala Nini? Mambo ya kale hayatuhusu!

Kwanza nikwambie Ile 5-0 mi niliitazama, ilikuwa 2012, na ilikuwa mechi ya mchongo katikati ya mgogoro mkubwa uliokuwepo jangwani , Yanga asili vs Yanga kampuni wazee kina Mzee Akilimali wakivua kofia tunaona wakailaani timu mkashinda, ila haikuuma sana ila hii 5G ya juzikati imewauma sana Makolokwinyo sababu Kila timu ilijiandaa na hakukuwa na mgogoro Msimbazi!!
 
Wa mwisho kwenye msimamo wa tuzo[emoji2960][emoji2960][emoji2960]

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
20231117_012231.jpg

Sawa ila jumapili hawa jamaa walipata magoli 2 unawajua wataje majina yao
 
Back
Top Bottom