jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
[emoji38]Aaaah [emoji23]
Mkuu najua umefurahi sana mi kuitwa kaka
Nimeskitika, ni kama nimesoma sanaa halafu wana faulu wengine!
Hahaa oky baby boy nimekuelewa hahaaaHahaha,
all the efforts hujaona tuu!!
Kwa sasa jina nnalopenda kuitwa ndo nalihangaikia hapo lita kuja tuu.
Ila kaka hiyo achana nayo [emoji1]
Mtu mzima huyo ni dhambi kumwita baby wala boy ,labda mimi uniite baby ,sawa mamyHahaa oky baby boy nimekuelewa hahaaa
Unataka hivo??
Shukrani sanaaaaaaaaaaa mkuu ..hiyo alternative imekaa poa sana.....Utakuwa umerithi upande wa baba au mama.
Nilikuwa nacho lakini nilipokwenda secondary baada ya kutaniwa niliacha.
La msingi fanya mazoezi ya matamshi yenye S na Z ukiwa pekeako.Muda mwingine ukiona ulimi unakataa jaribu Synonym ya Hilo neno yaani mbadala wake.E.g. "we msichana njoo." Najua utasema "mthichana" kwa hiyo kwepa hiyo Sema "We binti njoo"
Huwa hakiishi sometimes matamshi hugoma.
Hahaaaa .....Mtu mzima huyo ni dhambi kumwita baby wala boy ,labda mimi uniite baby ,sawa mamy
Ungeeka na kakionjo ka bby hapo mamyHahaaaa .....
kwaiyo ungekua unakung'uta story kama hiviHahaaa ...shukrani sana mkuu...hivi hii haiwezi kunikosesha hata kazi...mfano kama nikitaka kua mtangazaji siku moja...????
Thio hivyo umekosea mkuu.....kwaiyo ungekua unakung'uta story kama hivi
...Hahaaa ...shukrani thana mkuu...hivi hii haiwethi kunikothesha hata kathi...mfano kama nikitaka kua mtangathaji thiku moja...
hatari kweli/B]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hahaa oky baby boy nimekuelewa hahaaa
Unataka hivo??
Oky baby boy your most welcome[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Yeah bby girl,
Mmmh ungekuwa unaniona hapa nimepata bichwa now linaweza kujaa fuso. [emoji85]
haha [emoji12] [emoji12][emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Yeah bby girl,
Mmmh ungekuwa unaniona hapa nimepata bichwa now linaweza kujaa fuso. [emoji85]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Oky baby boy your most welcome
Natania.#
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]haha [emoji12] [emoji12]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mtu mzima huyo ni dhambi kumwita baby wala boy ,labda mimi uniite baby ,sawa mamy
*Natania imenifuta kijasho chembamba maana huko kuitana bby doh,wengine tunafosi lakini wapi!,Oky baby boy your most welcome
Natania.#
[emoji14] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] oky baby boy...umesomeka....[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hasa hiyo natania ungeituma hata baadaye!!
Khaa!!
Ila inavyoonekana mi nimeshika makali we mpini [emoji1][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aaah we jamaa hupendi maendeleo ya mwenzio
Me napenda mwanamke mwenye kithembe yani kuhonga ntahongaa tuuJamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza kutamka maneno haya kwa ufasaha??? Au inakuaje kwa upande wa hili tatizo..... Nikiongea mbele za watu Napata shida sana maana huwa wananichekka sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila inavyoonekana mi nimeshika makali we mpini [emoji1]