KITHEMBE KINANIFANYA NICHEKWE.

KITHEMBE KINANIFANYA NICHEKWE.

Utakuwa umerithi upande wa baba au mama.

Nilikuwa nacho lakini nilipokwenda secondary baada ya kutaniwa niliacha.

La msingi fanya mazoezi ya matamshi yenye S na Z ukiwa pekeako.Muda mwingine ukiona ulimi unakataa jaribu Synonym ya Hilo neno yaani mbadala wake.E.g. "we msichana njoo." Najua utasema "mthichana" kwa hiyo kwepa hiyo Sema "We binti njoo"
Huwa hakiishi sometimes matamshi hugoma.
 
Shukrani sanaaaaaaaaaaa mkuu ..hiyo alternative imekaa poa sana.....
 
Hahaaa ...shukrani sana mkuu...hivi hii haiwezi kunikosesha hata kazi...mfano kama nikitaka kua mtangazaji siku moja...????
kwaiyo ungekua unakung'uta story kama hivi
...Hahaaa ...shukrani thana mkuu...hivi hii haiwethi kunikothesha hata kathi...mfano kama nikitaka kua mtangathaji thiku moja...
hatari kweli/B]
 
kwaiyo ungekua unakung'uta story kama hivi
...Hahaaa ...shukrani thana mkuu...hivi hii haiwethi kunikothesha hata kathi...mfano kama nikitaka kua mtangathaji thiku moja...
hatari kweli/B]
Thio hivyo umekosea mkuu.....
Mtangazaji=mtangadhazi
Haiwezi= haiwedhi...n.k
 
Jamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza kutamka maneno haya kwa ufasaha??? Au inakuaje kwa upande wa hili tatizo..... Nikiongea mbele za watu Napata shida sana maana huwa wananichekka sana.
Me napenda mwanamke mwenye kithembe yani kuhonga ntahongaa tuu
 
Back
Top Bottom