[emoji1][emoji14] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] oky baby boy...umesomeka....
[HASHTAG]#stanii[/HASHTAG]
Ngoja nitoe maviatu niweke sura nahisi atakuja fasta kwangu [emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe huniwezi mwenzio naendelea kupigana hapa
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]*Natania imenifuta kijasho chembamba maana huko kuitana bby doh,wengine tunafosi lakini wapi!,
Duh,unavuta mpini unikate viganja [emoji87][emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
hainaga utani tunakulaga
Duuuuuh aiseeee!!!![emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779]pole sana mkuuu,...
dawa ya kithembe ni kunywa maji mengi....kitakauka
HahahaNgoja nitoe maviatu niweke sura nahisi atakuja fasta kwangu [emoji38]
Yupo online ila haonekani atakua anaota thatha hv kama hajaenda kuogaHahaha
Na haji thatha
Wewe ni yule Dada yangu wa sinza? Nadhani ukishakuwa mtu mzima ukubali tu hiyo haliJamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza kutamka maneno haya kwa ufasaha??? Au inakuaje kwa upande wa hili tatizo..... Nikiongea mbele za watu Napata shida sana maana huwa wananichekka sana.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Yupo online ila haonekani atakua anaota thatha hv kama hajaenda kuoga
Nenda St Benedictin Hospital Ndanda Masasi ukatibiwe ni kazi ya masaa sita unakuwa okJamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza kutamka maneno haya kwa ufasaha??? Au inakuaje kwa upande wa hili tatizo..... Nikiongea mbele za watu Napata shida sana maana huwa wananichekka sana.
Mmh...matibabu!!!????Nenda St Benedictin Hospital Ndanda Masasi ukatibiwe ni kazi ya masaa sita unakuwa ok
Dah...Udhuri wake uongee kiingeredha thatha 😛Jamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza kutamka maneno haya kwa ufasaha??? Au inakuaje kwa upande wa hili tatizo..... Nikiongea mbele za watu Napata shida sana maana huwa wananichekka sana.
Shukrani sanaaaaaaaaaaa mkuuInategemea mana wengine wakiwa wanakuwa kinaisha chenyew
Cha msingi jitahidi na jizoeshe kuongea kawaida ila usiforce nenda taratibu taratibu utajikuta umezoea na kuanza kubadilika.
Wakikucheka ndo vizuri mada watakupa hasira ya kujitahidi kujirekebisha.
All the best katika jitihada zako.
For sureDah...Udhuri wake uongee kiingeredha thatha 😛
Ahsante sana nduguMimi nilikuwa na kigugumizi hadi kufikia miaka 17 na kilinipa shida sana. Ila nilijifunza jinsi ya kukishinda na namshukuru Mungu niliweza. Jifunze namna ya kulishinda hilo tatizo. Ila kama alivyochangia mdau hapo juu, akiwa nacho mwanamke baadhi ya wanaume huwa tunakifurahia sana.
Ni pm namba yako nikupigie nisikie unavyotamka nijue namna yakukusaidia.Jamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza kutamka maneno haya kwa ufasaha??? Au inakuaje kwa upande wa hili tatizo..... Nikiongea mbele za watu Napata shida sana maana huwa wananichekka sana.