KITHEMBE KINANIFANYA NICHEKWE.

KITHEMBE KINANIFANYA NICHEKWE.

pole sana mkuuu,...
dawa ya kithembe ni kunywa maji mengi....kitakauka
Duuuuuh aiseeee!!!![emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Jamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza kutamka maneno haya kwa ufasaha??? Au inakuaje kwa upande wa hili tatizo..... Nikiongea mbele za watu Napata shida sana maana huwa wananichekka sana.
Wewe ni yule Dada yangu wa sinza? Nadhani ukishakuwa mtu mzima ukubali tu hiyo hali
 
Jamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza kutamka maneno haya kwa ufasaha??? Au inakuaje kwa upande wa hili tatizo..... Nikiongea mbele za watu Napata shida sana maana huwa wananichekka sana.
Nenda St Benedictin Hospital Ndanda Masasi ukatibiwe ni kazi ya masaa sita unakuwa ok
 
Mimi nilikuwa na kigugumizi hadi kufikia miaka 17 na kilinipa shida sana. Ila nilijifunza jinsi ya kukishinda na namshukuru Mungu niliweza. Jifunze namna ya kulishinda hilo tatizo. Ila kama alivyochangia mdau hapo juu, akiwa nacho mwanamke baadhi ya wanaume huwa tunakifurahia sana.
 
Jamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza kutamka maneno haya kwa ufasaha??? Au inakuaje kwa upande wa hili tatizo..... Nikiongea mbele za watu Napata shida sana maana huwa wananichekka sana.
Dah...Udhuri wake uongee kiingeredha thatha 😛
 
Inategemea mana wengine wakiwa wanakuwa kinaisha chenyew
Cha msingi jitahidi na jizoeshe kuongea kawaida ila usiforce nenda taratibu taratibu utajikuta umezoea na kuanza kubadilika.
Wakikucheka ndo vizuri mada watakupa hasira ya kujitahidi kujirekebisha.
All the best katika jitihada zako.
 
Shukrani sanaaaaaaaaaaa mkuu
 
Mimi nilikuwa na kigugumizi hadi kufikia miaka 17 na kilinipa shida sana. Ila nilijifunza jinsi ya kukishinda na namshukuru Mungu niliweza. Jifunze namna ya kulishinda hilo tatizo. Ila kama alivyochangia mdau hapo juu, akiwa nacho mwanamke baadhi ya wanaume huwa tunakifurahia sana.
Ahsante sana ndugu
 
Jamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza kutamka maneno haya kwa ufasaha??? Au inakuaje kwa upande wa hili tatizo..... Nikiongea mbele za watu Napata shida sana maana huwa wananichekka sana.
Ni pm namba yako nikupigie nisikie unavyotamka nijue namna yakukusaidia.
 
Mi ninacho watu wanapenda sana navyoongea lazima ujiamini ujikubal na nikiongea lazima watu wageuke unachekwa sababu hujiamin na kujikubal
 
Back
Top Bottom