miss confidence
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 393
- 273
- Thread starter
- #21
[emoji126] [emoji126] [emoji126]Nilidhani umeandika kinembe😀.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji126] [emoji126] [emoji126]Nilidhani umeandika kinembe😀.
Bathi thawaShukrani sana atheeeeeee..
KwaniniMimi mwenyewe ningekuwa nakucheka
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji1] [emoji1] [emoji1]
Halafu kweli
Sasa ki thembe kimpate mwenye sauti nzuri
Huwa kina leta rahaa
Ukienda vyuo vuzuri vya utangazaji watakiondoa kwa asilimia 90.Hahaaa ...shukrani sana mkuu...hivi hii haiwezi kunikosesha hata kazi...mfano kama nikitaka kua mtangazaji siku moja...????
Hahaha[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wow wow (kama bobi akishikwa kwa utosi.,nilivyo hisi raha) 🙂Shukrani sana atheeeeeee..
Hahaaaaa shukrani sana mkuu kwa kunitia moyo kua kitaondoka.....haha kwa mnao kipenda itabidi tuvumiliane.....daaaaah kuna siku niliombwa na wanafunzi wa shule moja kuwasaidia swali... Aiseeee ilikua ni vicheko tuu kwa wale wanafunzi....yani sijui kama walielewa ....maana walijikita kuniskiliza maneno ya sa"/tha, za"/"dhaUkienda vyuo vuzuri vya utangazaji watakiondoa kwa asilimia 90.
Japo kuna baadhi huwa wanakuwa navyo , ila inatakiwa kisiwepo na watakupa trainings kwa sehem kubwa kitaondoka.
Unaweza kuwa mtangazaji ila kapitie mafunzo formal chatoka tuu.
*ila sasa ukiondoa kwa tunao kipenda tena itakuwaje
MR. huyu demu anaoneka mcute kinoma na kithembe kake woiHahaha
Ntakupigia ntakupigiaa
Sipat picha ukideka [emoji4]
Had rahaa
Kweli?????Wana wivu hao... Where be my Rich Woman?
Teh teh teh!!!!!Wow wow (kama bobi akishikwa kwa utosi.,nilivyo hisi raha) 🙂
Teh! Teh!teh! ...hahaaaa haya bana..Hahaha
Ntakupigia ntakupigiaa
Sipat picha ukideka [emoji4]
Had rahaa
Man Say I. Kama wasemavyo mabeberu huko post za juu, kithembe kina mvuto wake... Hasa mchuchu akideka! Wallahi...Kweli?????
HahahahaHahaaaaa shukrani sana mkuu kwa kunitia moyo kua kitaondoka.....haha kwa mnao kipenda itabidi tuvumiliane.....daaaaah kuna siku niliombwa na wanafunzi wa shule moja kuwasaidia swali... Aiseeee ilikua ni vicheko tuu kwa wale wanafunzi....yani sijui kama walielewa ....maana walijikita kuniskiliza maneno ya sa"/tha, za"/"dha
Hahaaaaaa ......duuuuuhMan Say I. Kama wasemavyo mabeberu huko post za juu, kithembe kina mvuto wake... Hasa mchuchu akideka! Wallahi...
Kama hapa nishakutamani yani, nikiona na mi jamaa inavyokupelemba basi roho juu mwenzio...Hahaaaaaa ......duuuuuh
Athanteeee thanaaaa atheeeeeee......... Kilikua kinanipa wasiwasi wa kuja kujikita katika taaluma ya utangazaji hapo mbeleni.....shukrani sana....mkuuHahahaha
Usijali , ur dreams are better than what we like, ukipata mafunzo kikitoka utatangaza fresh tuu hata kama kikiwepo ni kile cha maramoja moja sanaa si unajua kuacha asili ni ngumu!
*good luck mtangazaji or mtangadhaji [emoji1]
Loooh....kwahiyo udhaifu wako ni KITHEMBE???Kama hapa nishakutamani yani, nikiona na mi jamaa inavyokupelemba basi roho juu mwenzio...
Its like ur nem miss confidence,Teh! Teh!teh! ...hahaaaa haya bana..