Kiti alichokalia Mwl. Nyerere kupitisha azimio la Arusha

Kiti alichokalia Mwl. Nyerere kupitisha azimio la Arusha

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Katika ukumbi huu ndipo kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilikutana kuanzia Januari 26-28 mwaka 1967 mkoani Arusha na kupitisha Azimio la Arusha na kutangazwa rasmi Februari 5, 1967.

Na hiki ndicho kiti alichokalia Mwalimu Nyerere akiwa Mwenyekiti wa kikao hicho na pembeni yake ni kiti cha Hayati Rashid Mfaume Kawawa ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti na Hayati Oscar Kambona akiwa Katibu Mkuu.



Katika ukumbi huu pia zipo nyaraka za majina pamoja na viti walivyokalia wajumbe waliohudhuria kikao hicho.

Leo ikiwa ni kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ungana nasi kutembelea Makumbusho ya Azimio la Arusha. iliyopo mkoani Arusha.
 
Ongeza picha mkuu ili tuone,
Historia ya mambo ya zamani hua ni burudani sana.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom