Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Leo Mkumbo atakoma.....si kwa spana hiziHuyu jamaa Mkumbo ni mmoja ya watu wa hovyo kabisa. Ni wale wanasiasa wanaofanya siasa kwa sababu ya matumbo yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo Mkumbo atakoma.....si kwa spana hiziHuyu jamaa Mkumbo ni mmoja ya watu wa hovyo kabisa. Ni wale wanasiasa wanaofanya siasa kwa sababu ya matumbo yao.
HahahaJamaa anasisitiza Profesa... Anadhani Maza ataogopa.
Sure wazenji siyo wanafikiKitila anaenda huko na porojo zake za uchawa-chawa. Zanzibar wao mambo ya uchawa na kujipendekeza hakuna. Hata Zitto hawezi kuongoza chenye chenye influence Zanzibar kwa sababu ana tabia za uchawa na unafiki. Alivyoondoka kwenye uongozi imekuwa bora.
For sureKitila siyo kwamba kala spana bali paipu renji! 🤓🤓🤓
Nadhani hiyo nitaarifa mhimu kwaMother inaonekana hata kitila.hamjui
katila mkumboo.. baasi hayaaa 😄Mkumbo Mtikila😅
mukunza mukati namaAlaile leani, iza dhu!
Yes, ni njaa njaa tu hata huo uprofesa anaupaka matope, profesa ni mtu mwenye akili inayojitegemea ila huyu akili yake ni hunger drivenHuyu jamaa Mkumbo ni mmoja ya watu wa hovyo kabisa. Ni wale wanasiasa wanaofanya siasa kwa sababu ya matumbo yao.
profesa kwake na mkewe huko.Jamaa anasisitiza Profesa... Anadhani Maza ataogopa.
Sio mchezo !!
Hunger driven ?!Yes, ni njaa njaa tu hata huo uprofesa anaupaka matope, profesa ni mtu mwenye akili inayojitegemea ila huyu akili yake ni hunger driven
MAma ana akili sana anajua kujenga hoja zake