- Crack down all sign that went against our Union!...
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
- Wazanzibar wasomi wapatiwe ajira za upendeleo bara,kwa kusambaza wahitimu wote ndani ya Tanzania, huku wahitimu wa bara wakisambazwa znz kwa 30%.
-Shule za kilimo / University bara ziingize Wazanzibar kwa 50% ya wanafunzi wake,wahitimu wake wapatiwe mashamba bara.
-Wazee wa Zanzibar wale walioathirika wapatiwe kifuta machozi, pamoja na cancelling kuepusha kurithisha vijana chuki,
-Vijana wa Zanzibar wamelishwa sumu mbaya na wazee, mf. (kama sio huu muungano wazanzibar tungekuwa kama oman/dubei twalipwa tu mihela siye twacheza bhao) wakiimba nadharia ya tunayo mafuta mengi kupindukia, kiasi yakichimbwa znz Kuwait yatakauka, poor mentality ya uvivu mkali.
-