Kitila Mkumbo ala za Uso zanzibar aambiwa akae kimya kwa kuwa haijui


ni ushamba tu kwa kweli
 
Wazanzibar hawana unafiki nyeupe ni nyeupe lakini wabara unafiki,uchawa na uchawi.
MzΓ nzibari kitu akiwa nacho moyoni na mdomoni hukitoa Hivyo Hivyo kilivyo moyoni

Bara anachoongea mdomoni tofauti na kilichoko moyoni.Aweza kikusifia mtu wa bara mdomoni huku.moyoni kwake anakuporomishea matusi ya nguoni.Wazanzibari mdomo na moyo vina mawasiliano ya pamoja upande wa bara mdomo na moyo havina mawasiliano ya pamoja
 
Yaani huyu mama amenifuahisha saaana ni hatareee saaana msomi kama kitila, kabudi na mollel kugeuka chawa nchi inakuwa rehani inadumaa ndo umasikini wetu unaanzia hapo hivi kitilaa hawezi kufanya kaxi nyingine mpaka awe chawaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…