Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Yule ni rubbish professor
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ni rubbish professor
Ukimaliza kukimbia urud nikwambie 😅😅😅😊😊Una uhakika huyo ex wako siyo huyo mmama?!
Nimemkumbuka Ex- US President TRUMPYule ni rubbish professor
Mjinga sn huyo mzeeNimemkumbuka Ex- US President TRUMP
Kumwita DULL PROFESSOR yule professor mmalawi (President) 😊😅😅😊
SOOOOOOOOOOOOOOOOO? Uwaziri wake yeye na waliomteua.😂 Kwani uyo mmama hajui kama kitila ni waziri wa Jamuhuri ya muungano wa Tz?
Professor ukiwa darasani tuige wa marekani vyeo vya Profesa ,Doctor,Engineer nk vinatumika tu mtu akiwa eneo linahusika na hiyo fani Sio uko kwenye Ngoma ya mdundiko au kitcheni party unataka uitwe Profesa Fulani au Doctor Fulani au Engineer Fulani huyo mama Yuko sahihi pale hapakuwa kitivo Cha Chuo kikuu
Mzànzibari kitu akiwa nacho moyoni na mdomoni hukitoa Hivyo Hivyo kilivyo moyoniWazanzibar hawana unafiki nyeupe ni nyeupe lakini wabara unafiki,uchawa na uchawi.