Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weekend ijayo itakuwa poa, nna imani utakaribiaNaomba hio ofa
Nyama tamu sana kwa Rank;-Kwa miaka kadhaa toka nikiwa mtoto mdogo hadi leo hii nimekua sili Kitimoto Japo mimi ni Mkristo mkatoriki wa kuzaliwa. Hii ilitokana na sababu zangu binafsi na sheria kwenye biblia ya inayosema...
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Mambo ya Walawi 11:7
Hivyo nikawa sigusi kitimoto hata nyumbani hakijawahi kupikwa (Mama alikua Muislim kabla, hatak ata kuiona japo mkatoriki)
Basi kwenye Pasaka hii ya Juzi juzi apa jirani yetu mchaga Noah yake aliipiga Breakdown akawa anauuza Kilo kwa buku Saba za lumumba tu. Tukachukua na sisi washkaji kilo 2 hivi. Nami nikasema ngoja nionje huyu mdudu ambao JF wanamsifia eti ni mtamu hasa ukishushia na Nyagi. Basi bwana ikaandaliwa vizuri sana hadi inaiitata nami nikasogea, nilijua nitakuta radha special kwenye pork (kulikua na supu, miskaki, iliyolostiwa, na ya pilau) asee mboga ya hovyo sana sijawah ona nilikula kidogo tu ikanishinda maana nilitema mate sana hafu nasikia imekaa rohoni. Ilibidi nile limao nzima ndo nikapata ahueni...
Nyama ya kuku itabaki kua nyama bora wakati wote kwangu hadi naacha hii dunia..
Da'Vinci: Young, Wild, Broke and Brainy.
Ondoa shaka best nitakupa mwaliko!Naomba unipjkie Chartie
Tunakusamehe kwa kuwa hulijui unenaloHivi mwaipendea nini au yale mafuta? Mm naona kuku is the best nyama ever 😀😀😀
Aisee watu mna maneno..Dah, njoo Nakupeleka pale Madoto Kigogo, Yule Mzee anapika kwa order Yaani kama Hujaweka order yako usitie Mguu, order inatolewa week before...
Nitakujulisha tu,i hope utakuja kufungulia uzi wa kuisifia nyama hii adimu hahahahItakua lini
ha ha ha aisee we mgeni utakua mtata,eniwei nitajaribu kufikiria juu ya hilo!Unichinjie na hako kambuzi nyuma yako ili ikinishinda nipifie hako.. 🙁🙁 😀😀😀
[emoji23]Najuta kupita kwenye uzi huu.
Kitimoto lazima kihusike leo