Kitimoto kupatikana Zanzibar ni ishara ya uvumulivu

Kitimoto kupatikana Zanzibar ni ishara ya uvumulivu

Huijuhi zenj wewe! Fika kipindi cha mfungo wa ramadhani, uone balaa, nunua maji harafu uyanywe hadharani, utaomba Mungu aitoe roho yako!unaweza ukashambuliwa hata na mapanga,
Kipindi cha mfungo, hata boti za kwenda zenj, haziuzi vinywaji, ndani,cafeteria zinafungwa! Kama vile wote waliopanda ni islam! Hapo uvumilivu upo wapi!
Ukiwa, kule unajengewa mazingira huwezi kula, na, uone vibaya kula
Mimi hawataniweza nitawashindilia vyuma hataaminu
 
Kitimoto ipo tokea zamani , miaka ya 70 bibi yangu alikuwa anafuga kabisa na kuuza maeneo ya kule mtoni alikuwa na shamba lake.

ieleweke kuwa "Dini itabaki kuwa dini , Na Mboga Itabaki kuwa Mboga"

Hakuna Haramu Chungu, Siku zote haramu ni tamu sana.
 
😀
 
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania,na Tanzania sio nchi ya kiislamu,hivyo ni ruksa popote kitimoto kuliwa, Tanzania ni nchi isiyofuata misingi ya dini yoyote Ktk uongozi
 
Kinawateja wengi huko ndio maana kinauzwa.
 
KWAMBA UWEPO WA UISLAMU, HAINA MAANA YA UWEPO WA WATU SAFI.
MSIJITOE AKILI, NI HUKO HUKO KWENYE UISLAMU NDIO HUKO HUKO KWENYE USHOGA NA UFIRA.JI KWA WANAWAKE.

KWAMBA UWEPO WA MASHARTI MAKALI YA DINI HAINA MAANA NI UWEPO WA SAFI HUKO VISIWANI.
VYEMA TUKIANZA KUWAPIGA VITA WATU WACHAFU KISHA TUHAMIE KWENYE WANAYAMA.
 
Back
Top Bottom