Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wamiliki wote wa boti za kwenda Zenji ni Waislamu?Huijuhi zenj wewe! Fika kipindi cha mfungo wa ramadhani, uone balaa, nunua maji harafu uyanywe hadharani, utaomba Mungu aitoe roho yako!unaweza ukashambuliwa hata na mapanga,
Kipindi cha mfungo, hata boti za kwenda zenj, haziuzi vinywaji, ndani,cafeteria zinafungwa! Kama vile wote waliopanda ni islam! Hapo uvumilivu upo wapi!
Ukiwa, kule unajengewa mazingira huwezi kula, na, uone vibaya kula
Na Mpagani je?Kafiri ni yule mtu asiyekuwa muislamu
Vitu vingine ni ujinga tu, watu wanakariri vitu bila hata kujuwa ukweli. Nguruwe ana ubaya gani, ni nani alikufa duniani au aligeuka kuwa jini baada ya kula mbuzi katoliki? Huyu mze wa busara ameliwa na Mohammed na yule bikra mashuhuri wa Hamas FaizaFoxy mbona anawapikia magaidi huko motoni?Japo Zanziba ni sehemu ya Tanzania, inafahamika kuwa asilimia kubwa ya wakazi wake ni Waislamu. Na inafahamika kuwa nguruwe, au MBUZI KATOLIKI kama inavyoitwa na baadhi ya watu, ni wanyama haramu kwa Waislamu.
Lakini unajua hiyo mboga inapatikana hata Zanzibar? Kwa ambaye hajawahi kufika huko, anaweza asiamini. Hata mimi nilikuwa na mtazamo huo. Ulibadilika baada ya kushuhudia kwa macho yangu na kinywa changu.
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika Zanzibar. Nilipoulizia gesti iliyopo sehemu tulivu, baada ya kutoridhishwa na zilizopo maeneo ya Darajani, niliambiwa niemde kwa BI JANETH, mahali wanakouza kitimoto. Ipo Mbwe, Unguja.
Nilitilia mashaka hayo maelezo, lakini nikaamua kujiridhisha. Hata baada ya kufika kwa BI JANETH, na kuulizia vyakula vinavyopatikana hapo, bado sikuamini nilipotajiwa mpaka kitimoto. Lakini nilipojionea mwenyewe kwa macho yangu na kinywa changu, sikuwa na sababu tena ya kuwa na mashaka, badala yake, nilibaki na mshangao. Niligundua kuwa Mzanzibar si kama nilivyokuwa nikiifahamu, kwa kuambiwa.
Sijui ilifika fikaje hapo kwenye hiyo lodge! Sijui kama nguruwe wanafugwa huko Zanzibar au wametolewa bara.
Lakini naamini Serikali na Raia wanafahamu kuwa kuna biashara kama hiyo huko Zanzibar. Kitendo cha kuruhusu watumiaji wa hiyo mboga kujinafasi bila kubughudhiwa, hata kama ni katika baadhi ya maeneo tu, kinaonesha wazi kuwa Wazanzibar ni watu waelewa na wavumulivu pia.
Wameonesha kwa vitendo kuwa japo wao (wengi wao) hawaitumii kitimoto, wanaheshimu Imani za wengine. Ndiyo maana hawajaweka ukwazo kwa wanaohitaji hiyo mboga. Huo ni ustaarabu wa hali ya juu!!!
Hongereni sana Wazanzibar!
Nje ya mada, Forodhani ni wapi vile?Kitimito kumbe ipo hadi forodhani
Historia ni ngumu sana, maana tulikuwa manyani Sasa tumekuwa binadamu na tumekuwa waislam.Kihistoria Kitimoto ameingia Tanganyika kutokea Zanzibar.
Karibu mwana jf zenj, tujuane njoo kwa mchina mwanzo jioni twende forodhani.Nje ya mada, Forodhani ni wapi vile?
Kwa Zanzibar mi ni mgeni sana.
Najua kinakopatikana. Kwa Bi Janeth.Karibu mwana jf zenj, tujuane njoo kwa mchina mwanzo jioni twende forodhani.
PM.
Ila forodhani hakuna kitimoto.
Kuweka kumbukumbu sawa hapa JF.Japo Zanziba ni sehemu ya Tanzania, inafahamika kuwa asilimia kubwa ya wakazi wake ni Waislamu. Na inafahamika kuwa nguruwe, au MBUZI KATOLIKI kama inavyoitwa na baadhi ya watu, ni wanyama haramu kwa Waislamu.
Lakini unajua hiyo mboga inapatikana hata Zanzibar? Kwa ambaye hajawahi kufika huko, anaweza asiamini. Hata mimi nilikuwa na mtazamo huo. Ulibadilika baada ya kushuhudia kwa macho yangu na kinywa changu.
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika Zanzibar. Nilipoulizia gesti iliyopo sehemu tulivu, baada ya kutoridhishwa na zilizopo maeneo ya Darajani, niliambiwa niemde kwa BI JANETH, mahali wanakouza kitimoto. Ipo Mbwe, Unguja.
Nilitilia mashaka hayo maelezo, lakini nikaamua kujiridhisha. Hata baada ya kufika kwa BI JANETH, na kuulizia vyakula vinavyopatikana hapo, bado sikuamini nilipotajiwa mpaka kitimoto. Lakini nilipojionea mwenyewe kwa macho yangu na kinywa changu, sikuwa na sababu tena ya kuwa na mashaka, badala yake, nilibaki na mshangao. Niligundua kuwa Mzanzibar si kama nilivyokuwa nikiifahamu, kwa kuambiwa.
Sijui ilifika fikaje hapo kwenye hiyo lodge! Sijui kama nguruwe wanafugwa huko Zanzibar au wametolewa bara.
Lakini naamini Serikali na Raia wanafahamu kuwa kuna biashara kama hiyo huko Zanzibar. Kitendo cha kuruhusu watumiaji wa hiyo mboga kujinafasi bila kubughudhiwa, hata kama ni katika baadhi ya maeneo tu, kinaonesha wazi kuwa Wazanzibar ni watu waelewa na wavumulivu pia.
Wameonesha kwa vitendo kuwa japo wao (wengi wao) hawaitumii kitimoto, wanaheshimu Imani za wengine. Ndiyo maana hawajaweka ukwazo kwa wanaohitaji hiyo mboga. Huo ni ustaarabu wa hali ya juu!!!
Hongereni sana Wazanzibar!
Mbona ndio wateja wetu haoAisee! Sijawahi kufikiri kwa mrengo huo!
Amemuharibia Bi. Janeth biasharaUmeshachoma kambi mkuu
😀😀😀Kuweka kumbukumbu sawa hapa JF.
1. Ni kweli nyama ya kitimoto inapatikana Zanzibar lakini ni kwenye maeneo maalum hasa kwenye hoteli za kitalii, nje ya miji, mafichoni.
2. Nyama ya kitimoto sio haramu kwa sheria za Zanzibar. Hivyo ilipaswa iuzwe wazi mabuchani kama nyama ya ng'ombe lakini jamii ya Kizanzibar bado haitaki kukubali hilo, hivyo hatari za uvunjifu wa amani zipo nje nje.
3. Ni rahisi sana kupata bangi, heroin, cocaine ukiwa Zanzibar kuliko kupata nyama ya nguruwe.
4. Wazanzibar wengi kwa sasa ni wanywaji wazuri wa pombe na walaji wazuri mnoo wa kitimoto lakini hufanya hivyo kwa kujificha sana.
Wewe hujui tu.Walaji wazuri wa mdudu ni Wajukuu wa Mtume ,hiyo Nakupa sasa laivu bila Chenga;Kwa hiyo hawawezi kuzuia ili hali nao ni watafunaji wazuri wa mdudu.Japo Zanziba ni sehemu ya Tanzania, inafahamika kuwa asilimia kubwa ya wakazi wake ni Waislamu. Na inafahamika kuwa nguruwe, au MBUZI KATOLIKI kama inavyoitwa na baadhi ya watu, ni wanyama haramu kwa Waislamu.
Lakini unajua hiyo mboga inapatikana hata Zanzibar? Kwa ambaye hajawahi kufika huko, anaweza asiamini. Hata mimi nilikuwa na mtazamo huo. Ulibadilika baada ya kushuhudia kwa macho yangu na kinywa changu.
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika Zanzibar. Nilipoulizia gesti iliyopo sehemu tulivu, baada ya kutoridhishwa na zilizopo maeneo ya Darajani, niliambiwa niemde kwa BI JANETH, mahali wanakouza kitimoto. Ipo Mbwe, Unguja.
Nilitilia mashaka hayo maelezo, lakini nikaamua kujiridhisha. Hata baada ya kufika kwa BI JANETH, na kuulizia vyakula vinavyopatikana hapo, bado sikuamini nilipotajiwa mpaka kitimoto. Lakini nilipojionea mwenyewe kwa macho yangu na kinywa changu, sikuwa na sababu tena ya kuwa na mashaka, badala yake, nilibaki na mshangao. Niligundua kuwa Mzanzibar si kama nilivyokuwa nikiifahamu, kwa kuambiwa.
Sijui ilifika fikaje hapo kwenye hiyo lodge! Sijui kama nguruwe wanafugwa huko Zanzibar au wametolewa bara.
Lakini naamini Serikali na Raia wanafahamu kuwa kuna biashara kama hiyo huko Zanzibar. Kitendo cha kuruhusu watumiaji wa hiyo mboga kujinafasi bila kubughudhiwa, hata kama ni katika baadhi ya maeneo tu, kinaonesha wazi kuwa Wazanzibar ni watu waelewa na wavumulivu pia.
Wameonesha kwa vitendo kuwa japo wao (wengi wao) hawaitumii kitimoto, wanaheshimu Imani za wengine. Ndiyo maana hawajaweka ukwazo kwa wanaohitaji hiyo mboga. Huo ni ustaarabu wa hali ya juu!!!
Hongereni sana Wazanzibar!
Unamfahamu Bi Janeth mkuu? Sijui anafananaje kwa sura, lakini nilisikia sifa zake. Ni Jaji mkali hasa!Amemuharibia Bi. Janeth biashara
Koti Moto ina vitamin A nyingi kuliko mayai ya kienyeji.Aisee! Kama ina msaada, basi wasiotumua kwa sababu za kiimani washauriwe kutumia kwa sababu za kimatibabu.
Ila ukibanwa na njaa ya kufa MTU, kula kitimoto Ila usishibeKafiri atabaki kuwa Kafiri tu haijalishi kama unafanya nae kazi haijalishi unaishi nae atabaki kuwa Kafiri tu.