Mwl Mkwaya
Member
- May 20, 2011
- 68
- 7
Karibu tena mkuu! Mzigo tunachukua kwa masista wa Katoliki, sometimes Dar! Kama kuna mtu anamzigo tuongee biashara pia #0717147161 wanasema Tanga kuna bandarini bubu pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnapatikana wapi mkuu?Karibu tena mkuu! Mzigo tunachukua kwa masista wa Katoliki, sometimes Dar! Kama kuna mtu anamzigo tuongee biashara pia #0717147161 wanasema Tanga kuna bandarini bubu pia
Japo nguruwe ni mboga ila hii sio hoja. Mbona huli binadamu? Si kaumbwa pia na mtakatifu?Mikono ya mwanadamu wala vinywa vyao haviwezi KAMWE kuwa vitakatifu zaidi ya aliye umba huyo nguruwe. Unataka kusema mikono iliyo umba ilijitia unajisi?
Ulionaje Kwa kinywa chako?nilipojionea mwenyewe kwa macho yangu na kinywa changu
Mnapatikana wapi mkuu?Karibu tena mkuu! Mzigo tunachukua kwa masista wa Katoliki, sometimes Dar! Kama kuna mtu anamzigo tuongee biashara pia #0717147161 wanasema Tanga kuna bandarini bubu pia
Aisee! Kuna watu mna maswali magumu sana. Hiyo ni lugha ya "kitafiti' mkuu!Ulionaje Kwa kinywa chako?
Kuna mahala wamesema mwanadamu ni najis?Japo nguruwe ni mboga ila hii sio hoja. Mbona huli binadamu? Si kaumbwa pia na mtakatifu?
Hivyo analiwa sababu si najisi.Kuna mahala wamesema mwanadamu ni najis?
Kheee...!!! Sasa kuna vingapi watu hawali na wengine wanakula? Iwe kwa sababu za kidini, kiafya, kimtazamo etc kama wewe huli na wengine wanakula karibu na wewe ulipo, haina maana ya uvumilivu..! Wanaokula punda na huku wengine hatuli, inamaana sisi ni wavumilivu? Je wenye maghorofa na wengine tusionayo, inamaana sisi tusio na maghorofa ni wavumilivu? Acheni kuleta mitazamo ya kidini kwenye kila jambo..!! Vipi kitendo cha wao kuwa waislamu na wengine wakristo au imani nyingine, nani ana uvumilivu hapo kwamba mtu wa imani nyingine yupo naye karibu?Japo Zanziba ni sehemu ya Tanzania, inafahamika kuwa asilimia kubwa ya wakazi wake ni Waislamu. Na inafahamika kuwa nguruwe, au MBUZI KATOLIKI kama inavyoitwa na baadhi ya watu, ni wanyama haramu kwa Waislamu.
Lakini unajua hiyo mboga inapatikana hata Zanzibar? Kwa ambaye hajawahi kufika huko, anaweza asiamini. Hata mimi nilikuwa na mtazamo huo. Ulibadilika baada ya kushuhudia kwa macho yangu na kinywa changu.
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika Zanzibar. Nilipoulizia gesti iliyopo sehemu tulivu, baada ya kutoridhishwa na zilizopo maeneo ya Darajani, niliambiwa niemde kwa BI JANETH, mahali wanakouza kitimoto. Ipo Mbwe, Unguja.
Nilitilia mashaka hayo maelezo, lakini nikaamua kujiridhisha. Hata baada ya kufika kwa BI JANETH, na kuulizia vyakula vinavyopatikana hapo, bado sikuamini nilipotajiwa mpaka kitimoto. Lakini nilipojionea mwenyewe kwa macho yangu na kinywa changu, sikuwa na sababu tena ya kuwa na mashaka, badala yake, nilibaki na mshangao. Niligundua kuwa Mzanzibar si kama nilivyokuwa nikiifahamu, kwa kuambiwa.
Sijui ilifika fikaje hapo kwenye hiyo lodge! Sijui kama nguruwe wanafugwa huko Zanzibar au wametolewa bara.
Lakini naamini Serikali na Raia wanafahamu kuwa kuna biashara kama hiyo huko Zanzibar. Kitendo cha kuruhusu watumiaji wa hiyo mboga kujinafasi bila kubughudhiwa, hata kama ni katika baadhi ya maeneo tu, kinaonesha wazi kuwa Wazanzibar ni watu waelewa na wavumulivu pia.
Wameonesha kwa vitendo kuwa japo wao (wengi wao) hawaitumii kitimoto, wanaheshimu Imani za wengine. Ndiyo maana hawajaweka ukwazo kwa wanaohitaji hiyo mboga. Huo ni ustaarabu wa hali ya juu!!!
Hongereni sana Wazanzibar!
Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano WA Tanzania na sio nchi ya kiislamu,kitimoto kuuzwa Zanzibar sio hisani ni kawaidaJapo Zanziba ni sehemu ya Tanzania, inafahamika kuwa asilimia kubwa ya wakazi wake ni Waislamu. Na inafahamika kuwa nguruwe, au MBUZI KATOLIKI kama inavyoitwa na baadhi ya watu, ni wanyama haramu kwa Waislamu.
Lakini unajua hiyo mboga inapatikana hata Zanzibar? Kwa ambaye hajawahi kufika huko, anaweza asiamini. Hata mimi nilikuwa na mtazamo huo. Ulibadilika baada ya kushuhudia kwa macho yangu na kinywa changu.
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika Zanzibar. Nilipoulizia gesti iliyopo sehemu tulivu, baada ya kutoridhishwa na zilizopo maeneo ya Darajani, niliambiwa niemde kwa BI JANETH, mahali wanakouza kitimoto. Ipo Mbwe, Unguja.
Nilitilia mashaka hayo maelezo, lakini nikaamua kujiridhisha. Hata baada ya kufika kwa BI JANETH, na kuulizia vyakula vinavyopatikana hapo, bado sikuamini nilipotajiwa mpaka kitimoto. Lakini nilipojionea mwenyewe kwa macho yangu na kinywa changu, sikuwa na sababu tena ya kuwa na mashaka, badala yake, nilibaki na mshangao. Niligundua kuwa Mzanzibar si kama nilivyokuwa nikiifahamu, kwa kuambiwa.
Sijui ilifika fikaje hapo kwenye hiyo lodge! Sijui kama nguruwe wanafugwa huko Zanzibar au wametolewa bara.
Lakini naamini Serikali na Raia wanafahamu kuwa kuna biashara kama hiyo huko Zanzibar. Kitendo cha kuruhusu watumiaji wa hiyo mboga kujinafasi bila kubughudhiwa, hata kama ni katika baadhi ya maeneo tu, kinaonesha wazi kuwa Wazanzibar ni watu waelewa na wavumulivu pia.
Wameonesha kwa vitendo kuwa japo wao (wengi wao) hawaitumii kitimoto, wanaheshimu Imani za wengine. Ndiyo maana hawajaweka ukwazo kwa wanaohitaji hiyo mboga. Huo ni ustaarabu wa hali ya juu!!!
Hongereni sana Wazanzibar!
Hujawahi sikia binadamu wanaokula bimadamu? Kwa sasa haliwi kwa sababu ni sawa na kujila wewe mwenyewe, kumaliza kizazi chako na ni kinyume na sheria. Sasa kwa nguruwe ipoje?Hivyo analiwa sababu si najisi.
sasa nani anamvumilia mwenzake hapo wakati kipindi cha mfungo kitimoto nchi nzima huwa inapungua soko?Japo Zanziba ni sehemu ya Tanzania, inafahamika kuwa asilimia kubwa ya wakazi wake ni Waislamu. Na inafahamika kuwa nguruwe, au MBUZI KATOLIKI kama inavyoitwa na baadhi ya watu, ni wanyama haramu kwa Waislamu.
Lakini unajua hiyo mboga inapatikana hata Zanzibar? Kwa ambaye hajawahi kufika huko, anaweza asiamini. Hata mimi nilikuwa na mtazamo huo. Ulibadilika baada ya kushuhudia kwa macho yangu na kinywa changu.
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika Zanzibar. Nilipoulizia gesti iliyopo sehemu tulivu, baada ya kutoridhishwa na zilizopo maeneo ya Darajani, niliambiwa niemde kwa BI JANETH, mahali wanakouza kitimoto. Ipo Mbwe, Unguja.
Nilitilia mashaka hayo maelezo, lakini nikaamua kujiridhisha. Hata baada ya kufika kwa BI JANETH, na kuulizia vyakula vinavyopatikana hapo, bado sikuamini nilipotajiwa mpaka kitimoto. Lakini nilipojionea mwenyewe kwa macho yangu na kinywa changu, sikuwa na sababu tena ya kuwa na mashaka, badala yake, nilibaki na mshangao. Niligundua kuwa Mzanzibar si kama nilivyokuwa nikiifahamu, kwa kuambiwa.
Sijui ilifika fikaje hapo kwenye hiyo lodge! Sijui kama nguruwe wanafugwa huko Zanzibar au wametolewa bara.
Lakini naamini Serikali na Raia wanafahamu kuwa kuna biashara kama hiyo huko Zanzibar. Kitendo cha kuruhusu watumiaji wa hiyo mboga kujinafasi bila kubughudhiwa, hata kama ni katika baadhi ya maeneo tu, kinaonesha wazi kuwa Wazanzibar ni watu waelewa na wavumulivu pia.
Wameonesha kwa vitendo kuwa japo wao (wengi wao) hawaitumii kitimoto, wanaheshimu Imani za wengine. Ndiyo maana hawajaweka ukwazo kwa wanaohitaji hiyo mboga. Huo ni ustaarabu wa hali ya juu!!!
Hongereni sana Wazanzibar!
Pengine kuna Wakristo wanaojumuika na ndugu zao wa Kiislamu kufunga wakati wa mfungo.sasa nani anamvumilia mwenzake hapo wakati kipindi cha mfungo kitimoto nchi nzima huwa inapungua soko?
Zanzibar kilo ni bei gani, nataka kujua ili niwe naagiza huko.Japo Zanziba ni sehemu ya Tanzania, inafahamika kuwa asilimia kubwa ya wakazi wake ni Waislamu. Na inafahamika kuwa nguruwe, au MBUZI KATOLIKI kama inavyoitwa na baadhi ya watu, ni wanyama haramu kwa Waislamu.
Lakini unajua hiyo mboga inapatikana hata Zanzibar? Kwa ambaye hajawahi kufika huko, anaweza asiamini. Hata mimi nilikuwa na mtazamo huo. Ulibadilika baada ya kushuhudia kwa macho yangu na kinywa changu.
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika Zanzibar. Nilipoulizia gesti iliyopo sehemu tulivu, baada ya kutoridhishwa na zilizopo maeneo ya Darajani, niliambiwa niemde kwa BI JANETH, mahali wanakouza kitimoto. Ipo Mbwe, Unguja.
Nilitilia mashaka hayo maelezo, lakini nikaamua kujiridhisha. Hata baada ya kufika kwa BI JANETH, na kuulizia vyakula vinavyopatikana hapo, bado sikuamini nilipotajiwa mpaka kitimoto. Lakini nilipojionea mwenyewe kwa macho yangu na kinywa changu, sikuwa na sababu tena ya kuwa na mashaka, badala yake, nilibaki na mshangao. Niligundua kuwa Mzanzibar si kama nilivyokuwa nikiifahamu, kwa kuambiwa.
Sijui ilifika fikaje hapo kwenye hiyo lodge! Sijui kama nguruwe wanafugwa huko Zanzibar au wametolewa bara.
Lakini naamini Serikali na Raia wanafahamu kuwa kuna biashara kama hiyo huko Zanzibar. Kitendo cha kuruhusu watumiaji wa hiyo mboga kujinafasi bila kubughudhiwa, hata kama ni katika baadhi ya maeneo tu, kinaonesha wazi kuwa Wazanzibar ni watu waelewa na wavumulivu pia.
Wameonesha kwa vitendo kuwa japo wao (wengi wao) hawaitumii kitimoto, wanaheshimu Imani za wengine. Ndiyo maana hawajaweka ukwazo kwa wanaohitaji hiyo mboga. Huo ni ustaarabu wa hali ya juu!!!
Hongereni sana Wazanzibar!
Nje ya sheria na kizazi ni sawa kumtafuna binadamu si ndio unachomaanisha?Hujawahi sikia binadamu wanaokula bimadamu? Kwa sasa haliwi kwa sababu ni sawa na kujila wewe mwenyewe, kumaliza kizazi chako na ni kinyume na sheria. Sasa kwa nguruwe ipoje?
Watu wengu udhani nguruwe ndio dhambi kubwa katika uisilamuJapo Zanziba ni sehemu ya Tanzania, inafahamika kuwa asilimia kubwa ya wakazi wake ni Waislamu. Na inafahamika kuwa nguruwe, au MBUZI KATOLIKI kama inavyoitwa na baadhi ya watu, ni wanyama haramu kwa Waislamu.