Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Nchi yetu haina dini wala kabila ndio maana unaona mpaka sasa sisi watanzania hatuulizanagi hayo masuala "ety iv wewe ni dini gani au kabila gani" hatujafundishwa hivo acha watu watafute riziki zao kwa huyo mnyama
 
Pombe zinauzwa kiholela.....
Condom zinauzwa kiholela....
Sigara zinauzwa kiholela.....
Bar zipo kiholela......
Casino zipo kiholela....
Kamari, Bahati nasibu, Betting zipo kiholela...
Kumbi za muziki na Disko zipo kiholela...

Vitu vyote hivyo ni haramu katika uislamu na kwenye dini zingine, pia haviruhusiwi umri chini ya miaka 18, lakini mleta mada havioni kama ni shida, yeye ameona shida ni nyama ya kitimoto kuuzwa kiholela wakati ni kitoweo cha kawaida kwenye familia nyingi, na anaweza kununua na kula hata mtoto mdogo.
Ana akili ndogo
 
Lazima tuifuate dini sheikh, na siku zote asiyefuata dini ni muovu...
Sahih bukhari 1246
"I have been commanded to fight against people till they testify that there is no god but Allah, that Muhammad is the messenger of Allah, and they establish prayer, and pay Zakat."
Hili andiko ni noma sana.
Magaidi wa dini ya haki wanalitumia sana hili andiko.

Wakikudaka bora ujitambulishe kama usiye na dini au wa dini nyingine.

Ukijitambulisha kama Mkristu au Yahudi hawakuachi.

Kinachofuata ni kisu cha shingo tu, walisha agizwa katika sura ya akinamama.

Surah Al-Maidat: Ayah 51

۞يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ لَا تَتَّخِذُواْ ٱلۡيَهُودَ وَٱلنَّصَٰرَىٰٓ أَوۡلِيَآءَۘ بَعۡضُهُمۡ أَوۡلِيَآءُ بَعۡضٖۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمۡ فَإِنَّهُۥ مِنۡهُمۡۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَهۡدِي ٱلۡقَوۡمَ ٱلظَّٰلِمِينَ
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu
 
Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?

Nadhani na wewe ungeheshimu imani ya wengine. Sijaona maduka maalum ya kuuza sigara au condom. Duka linalouz sigara ndo hilo hilo linauza na unga.

Nikienda dukani nanunua Unga naachana na sigara sababu hainihusu. Linalouza condom ndo hilo hilo linauza panadol..nikienda dukani nanunua panadol sihangaiki na condom. TUACHENI UNAFIQ. HAUTUSAIDII.
 
Lazima tuifuate dini sheikh, na siku zote asiyefuata dini ni muovu...
Sahih bukhari 1246
"I have been commanded to fight against people till they testify that there is no god but Allah, that Muhammad is the messenger of Allah, and they establish prayer, and pay Zakat."
Dini, ujinga!! Sijui ni kwa nini! Ila baadhi ya wafuasi wa Mudi mna akili fupi sana. Cha kushangaza kuna wenzako wa imani kama yako, wanajitambua kweli! Full ustaarabu!! Na wamekuwa na uvumilivu wa hali ya juu kwa watu wa imani tofauti!

Ila nyinyi mbuzi wachache, ndiyo kila siku mnatafuta tu chokochoko za kidini.
 
Hao ni makafir, usitolee mifano ya makafir wanaokiuka maagizo ya Allah.
Quran inasema 5:51
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu
 
Hao ni makafir, usitolee mifano ya makafir wanaokiuka maagizo ya Allah.
Quran inasema 5:51
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu
Wewe ni kati ya wale Waislam waovu! Nina marafiki zangu wengi waislam, ila hawana akili na mtazamo kama huu wa kwako.
 
Wewe ni kati ya wale Waislam waovu! Nina marafiki zangu wengi waislam, ila hawana akili na mtazamo kama huu wa kwako.
Hao marafiki zako sio waislam. Labda waislam jina wala nguruwe, astaghfirullah

Wewe huoni kitendo cha wao kuwa na urafiki na wewe wamekiuka maagizo ya Quran hapo juu?
 
Hao marafiki zako sio waislam. Labda waislam jina wala nguruwe, astaghfirullah

Wewe huoni kitendo cha wao kuwa na urafiki na wewe wamekiuka maagizo ya Quran hapo juu?
Wewe unatakiwa kuchangiwa tu nauli ili ukajiunge na wale ndugu zako wa Cabo Delgado kule Msumbiji, Al Shabaab, Boko Haram!

Akili yako imeshavurugwa na dini yako ya Mnyaazi.
 
Back
Top Bottom