Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Kwani umekula?
hakikuhusu wewe pita na njia zako!
Wachana na utamu wa hii kitu!
Mbona uzinzi na ushirikina huoni kama dhambi?
 
Kuna Imani zingine za kipumbavu sana.
Yaani wakifunga TV zote kazi kutangaza funga yao, wataomba vyakula vipunguzwe bei, watu wasile kwa uhuru mchana.
Kitimoto haiuzwi chumbani mwako, haiuzwi uani mwako, haiuzwi kwenye ofisi za umma, haiuzwi kwenye maduka yenye bidhaa mchanganyiko.
Yet mnataka tuuziane chumbani kwetu
Hivi mna matatizo gani enyi wanafiki?
Nimecheka sana hii mkuu 🤣
🤣
 
Ukianzisha uzi wa dini humu we kaa pembeni watu watakavyokuwa wanapambana 🤣🤣
 
Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?

Tungeanza na yale yaliyojiri Pemba tarehe 9 au 10 October mwaka huu kwakuwa sisi sote ni familia moja tofauti ni vile tu wengine wamezaliwa na mke mkubwa wengine mke mdogo
 
Ila mnakula kwa tahadhari unaweza kupewa korodani zimerostiwa vema ukafikiri mafuta .....,....
 
Ile bar yangu nauza na kitimoto na serikali inakuja kuchukua kodi inaenda kutoa msaada mahali ya kujenga msikiti. Wakat huo huo wenye msikiti hawataki bucha langu
 
Walikujaga wageni kutoka bush huko na dini yao,kuwa kata stimu nika chinja mbuzi mimi mwenyewe,eti wakasusa kula kisa nimechinja mimi asee,niliwanyoosha,nikarost na kuchoma nikaagjza na cret la bia wakasusa nakutaka kusepa,nauli hawana walivumilia mpaka shangwe lilipo isha siku ya pili,baadae nikawaambia acheni upumbavu ukija kwangu usilete masharti yako pia muwe wavumilivu na imani za wengine ,mpaka leo nasemwa vibaya sana bush
Huo ni upimbi uje kwangu ulete sheria kwamba ww ndo sijui una haki ya kuchinja kuna siku alikuja mjomba wangu nikaona subiri nichinje jogoo si alipo jua akaanza kuuliza nani kachinja nilimwambia peleka upimbi wa baba yako huko kwenu km hutaki kula acha na kamweleze dada kabisa na mmewe kua jomba kauzu.
 
Back
Top Bottom