Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
Ulitaka mabucha yawekwe wapi na wapi??Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
Aende china au nchi USA atajua kitimoto ni nyama yao pendwa ,ngombe ni anasa.Pombe zinauzwa kiholela.....
Condom zinauzwa kiholela....
Sigara zinauzwa kiholela.....
Bar zipo kiholela......
Casino zipo kiholela....
Kamari, Bahati nasibu, Betting zipo kiholela...
Kumbi za muziki na Disko zipo kiholela...
Vitu vyote hivyo ni haramu katika uislamu na kwenye dini zingine, pia haviruhusiwi umri chini ya miaka 18, lakini mleta mada havioni kama ni shida, yeye ameona shida ni nyama ya kitimoto kuuzwa kiholela wakati ni kitoweo cha kawaida kwenye familia nyingi, na anaweza kununua na kula hata mtoto mdogo.
Haujui chochote ujuaji tuHakuna mahali Waislamu wamekatazwa kula nyama ya nguruwe.
Ninachokumbuka wamekatazwa kula nyama ya nguruwe wakiwa wameshiba kuchelea wasije wakavimbiwa na kuwa walafi.
Hakika Sheikh umenena ya kweli, sema Siri ya kambi haipaswi kujulikanaAisee mwacheni bana uyo mdudu mbona manamsimanga hivi huyu bana achemshwe alafu ajirosti alooh, nina wanangu ni waislam na wanamla vizuri na uwaambii kitu ila wakiwa nje wanamponda kinoma
PointUmefuata nini buchani kama hayakuhusu? Tujifunze kuvumiliana! Ila si vyema kuwanyanyasa watu wanaotumia kitu fulani kama hawajavunja sheria, what if na wale wasio kula kuber wakisema ni haramu ? Tunakwandaje?
Mbona picha ni ya nyama ya ngombe? Au ulichotaka ni kuuhusisha ukristo na kitimoto?Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
[emoji3][emoji3][emoji3]Hana baya akidiss m1 wanamlike 100View attachment 2396557
Nina Marafiki zangu wa waislamu wanafuga nguruwe kibahaKatika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
Kwani hiyo kitimoto imeenda kuuzwa msikitini?Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?