Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Kuna Imani zingine za kipumbavu sana.

Yaani wakifunga TV zote kazi kutangaza funga yao, wataomba vyakula vipunguzwe bei, watu wasile kwa uhuru mchana.

Kitimoto haiuzwi chumbani mwako, haiuzwi uani mwako, haiuzwi kwenye ofisi za umma, haiuzwi kwenye maduka yenye bidhaa mchanganyiko.

Yet mnataka tuuziane chumbani kwetu.

Hivi mna matatizo gani enyi wanafiki?
Mjinga mmoja anaposti ujinga akidhani wote WAKO kama yeye
 
Kuna Imani zingine za kipumbavu sana.

Yaani wakifunga TV zote kazi kutangaza funga yao, wataomba vyakula vipunguzwe bei, watu wasile kwa uhuru mchana.

Kitimoto haiuzwi chumbani mwako, haiuzwi uani mwako, haiuzwi kwenye ofisi za umma, haiuzwi kwenye maduka yenye bidhaa mchanganyiko.

Yet mnataka tuuziane chumbani kwetu.

Hivi mna matatizo gani enyi wanafiki?
Mnyaazi kawaambia hivyo
 
Sisi Rastafarians hatutaki kabisa mambo ya kuwachinja wanyama.

Hivi Binadamu hamna huruma kwa kuvichinja viumbe vya Mwenyezi Mungu na kuvila kama chakula ?
Wakati mbogamboga na Kunde zipo za kumwaga...![emoji848]

Ngoja kwanza tuone huu mnyukano wa Bandari unaishia wapi. Tusihamishe mawazo kwenye mada za kitoto kwa sasa.
 
Huwa nawaza huyu kiumbe angekuwa ruksa kwa wavaa kubasi halafu haram kwa wengine na kwa utam alonao tungetambishiwa hadi maji tuite mma lakini kwa ipo kinyume ngoja ibaki hivyo
 
Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?

Mbona mnatembea na dada zetu wanaokula kitimoto ?! Tena mnakula denda linalotokana na ptotini ya kitimoto !! Wantama wasioliwa ni wengi kwa nini shida iwe kwa kitimoto tuu ??! Elezea..

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom